Live Updates: Vodacom Premier League, Lipuli FC Vs Yanga SC uwanja wa Samora Iringa

Live Updates: Vodacom Premier League, Lipuli FC Vs Yanga SC uwanja wa Samora Iringa

Ni kweli, ila tuwe wakweli, simba ya msimu uliopita sio simba ya msimu huu na yanga ya msimu uliopita sio yanga ua msimu huu. Timu zimepishana, mmoja kapanda mmoja kashuka kidogo.
Hahaaa. Ndio Soka la Tanzania hilo yaani halijawahi eleweka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli, ila tuwe wakweli, simba ya msimu uliopita sio simba ya msimu huu na yanga ya msimu uliopita sio yanga ua msimu huu. Timu zimepishana, mmoja kapanda mmoja kashuka kidogo.

Una maana Yanga kashuka kidogo???!!! mmmhhh ngoja tusubiri tuone...Yanga ina vijana wengi katika kikosi chake...bado mechi 14...kazi ipo...Ni nani atachoka mapema ...tusubiri tuone...ligi ni sawa na mbio za marathon...mechi tano za mwisho ndizo zitakazoamua bingwa msimu huu...Je, mechi hizo tano za mwisho za Simba ni zipi??? Za Yanga ni zipi?? za Azam ni zipi??? za Mtibwa ni zipi?? Hapo ni mahesabu...Ni maoni yangu tu lakini...
 
Angalau yanga ishinde hivi kama game tano hivi itakuwa poa sana
 
Back
Top Bottom