Live Updates: Vodacom Premier League, Lipuli FC Vs Yanga SC uwanja wa Samora Iringa

Hongera zako Mtani kwa kujitolea kutupa Updates.

Nakutegemea na kesho. [emoji12] [emoji12]
Asante mkuu. Japo changamoto nyingi zinakuwa, nimekuona hapo online na Yanga mwenzako kindakindaki [emoji16] [emoji16]

Mtani kesho kama desturi tumezoea ushindi. This is Simba
 
Hahaa. Changamoto hazikwepeki Mkuu. Mie huwa sina uoga aisee kama nina nafasi ya kuingia jf sioni shida kusimama kwenye timu niipendayo toka moyoni mpaka dk ya mwisho.

Nakutegemea. Nitakuwepo panapo Uzima Insha Allah yaani nitawahi siti mapema na Dada yangu Shunie nitamshikia nafasi pia. [emoji85] .

Kila la kheri.
 
Insha'Allah.. Panapo majaaliwaa hapo kesho mungu atakupa uzima. Leo una furaha sana [emoji16] [emoji16]
 
Sanaa yaani. Nikikumbuka na game ya Azam basi najiona sikukosea kuipenda Yanga. [emoji85].

Ila timu hizi zinataka moyo wa chuma saa nyingine sababu hazieleweki kabisa muda mwingine.
 
Haya uendelea kufurahia sambamba na zeshchriss, Sibonike, demigod pamoja na mwenyewe emmyta.

Kesho furaha kwa timu ushindi mnyama mkali kuliko wote mwituni SSC.. OKW SUNZU BOBAN, Shunie, Sembo, barafuyamoto, King Ngwaba na wengine.
 
Hahaaa. Umenikumbusha huyo jamaa hapo chini barafuyamoto leo sijamuona kabisa au mpaka icheze Simba ndio anaonekana.

Shukrani sana Mkuu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Haya uendelea kufurahia sambamba na zeshchriss, Sibonike, demigod pamoja na mwenyewe emmyta.

Kesho furaha kwa timu ushindi mnyama mkali kuliko wote mwituni SSC.. OKW SUNZU BOBAN, Shunie, Sembo, barafuyamoto, King Ngwaba na wengine.
Kesho anauliwa mtu na mnyama, kama kawa, sijui zitakuwa nne au mbili??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…