Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Naona leo mmekutana watani wa jadi yangu machoKila la heri lipuli hao yanga wapigwe tu kama kawaida yao
Haya jamani wana Yanga wenzangu njooni tufuatilie Chama letu huku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona leo mmekutana watani wa jadi yangu machoKila la heri lipuli hao yanga wapigwe tu kama kawaida yao
Haya jamani wana Yanga wenzangu njooni tufuatilie Chama letu huku.
Haya mambo tayari huku. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mpira ndio umeanza Dada bado ngoma ndefu msilemae kwa goli mojaNgeku CC dada, mie na weye tena.
Naona leo umekuwa mchambuziMpira ndio umeanza Dada bado ngoma ndefu msilemae kwa goli moja
Tupo hapaNaona leo mmekutana watani wa jadi yangu macho
Yeah nipo lipuli kwa mkopoNaona leo umekuwa mchambuzi
Hahahaaaaa. Kwani ndugu huna timu?Naona leo mmekutana watani wa jadi yangu macho
Mpira ukisha utanitagTupo hapa
Hahaaa. Sawa dada.Mpira ndio umeanza Dada bado ngoma ndefu msilemae kwa goli moja
SawaYeah nipo lipuli kwa mkopo
Hutaki hata malipo mwenyewe Dada.Yeah nipo lipuli kwa mkopo
Ndio sina timu kwa hapa kwetu zaidi ya Taifa starHahahaaaaa. Kwani ndugu huna timu?
Mnaotazama mpira kwenye tv ama uwanjani ni ya kweri haya?, nahisi huyu ana ugomvi.24 ' uwanja wa Samora mkoani Iringa
Lipuli FC 1-0 Yanga SC
Hahahaaaaa. Kwani ndugu huna timu?
Ahahaha mzalendo kwenye ubora wakoNdio sina timu kwa hapa kwetu zaidi ya Taifa star
Yaan sitaki hata shilingiHutaki hata malipo mwenyewe Dada.
Yaani Hapo najua wananiwakilisha MimiAhahaha mzalendo kwenye ubora wako