Ebu kuja hapa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mnyama hataki kunywa mafuta ya Alzeti ameniingiza hasara kubwa mno
Woooooooooooozeeeeeeer woyooooooooooo woyoooooooooUnaiacha hoi na hicho kibwagizo woooozeeer bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Nimeipenda ebu wazitoe week ijayoKuna hii hapa kavaa Kocha wetu wa Simba SC..! View attachment 775253
Hahahaaaa. Nilitingwa kidogo Mtani leo.Hajar.. Sijamuona leo.. Muite aje hapa kushangilia ubingwa bila kufungwa
Si unajua tena..tuliumiss mno ubingwa..zamu yetu sasa..Hahahaaa. Nimeshakuja Mtani.
Kama nakuona vile. Nimemuona Manara anahamasisha mkanunue sare ya Fulana. Teh teh teh
Hahaaaa. Ila mliusotea sana Mtani japokuwa kwa mbali nimechoka Hajar mie eti anasema wana Yanga hatutafunga Ramadhani kwa raha.Asante mkuu kwa kuja. Mwaka wetu rekodi ya mwaka 2010
Hahahaaa. Hongereni Mtani.Si unajua tena..tuliumiss mno ubingwa..zamu yetu sasa..
Yaani kuhusu Manara acha tu. Kasema atawakimbiza ile mbaya kwenye Social Media..Hahaaaa. Ila mliusotea sana Mtani japokuwa kwa mbali nimechoka Hajar mie eti anasema wana Yanga hatutafunga Ramadhani kwa raha.
Nikajisemea Ubingwa huu Manara anaweza Wehuka aiseee.
Hahahaaa. Tatizo hajazowea Ubingwa hivyo tunamuacha tu abwabwaje halafu sie kazi yetu inabaki kuhifadhi maneno yake kwani ipo siku yatamuumbua.Yaani kuhusu Manara acha tu. Kasema atawakimbiza ile mbaya kwenye Social Media..
Hahahaaaaa. Kwa kuwa tunamjua ni mtu wa aina gani. Akaaaaaa.Anasema mlianza kumchafua nyie kwa hivyo jiandae kisaikolojia