Live Updates: VPL, Singida United Vs Simba SC Namfua Stadium

Live Updates: VPL, Singida United Vs Simba SC Namfua Stadium

Nzuri sana hizo tshirt za simba bingwa nazisubiri mnoooo
Kuna hii hapa kavaa Kocha wetu wa Simba SC..!
IMG_20180512_183406_432.jpg
 
Asante mkuu kwa kuja. Mwaka wetu rekodi ya mwaka 2010
Hahaaaa. Ila mliusotea sana Mtani japokuwa kwa mbali nimechoka Hajar mie eti anasema wana Yanga hatutafunga Ramadhani kwa raha.

Nikajisemea Ubingwa huu Manara anaweza Wehuka aiseee.
 
Tutoke kisimba zaidi.. This is Simba SC
IMG_20180512_183327_019.jpg
 
Hahaaaa. Ila mliusotea sana Mtani japokuwa kwa mbali nimechoka Hajar mie eti anasema wana Yanga hatutafunga Ramadhani kwa raha.

Nikajisemea Ubingwa huu Manara anaweza Wehuka aiseee.
Yaani kuhusu Manara acha tu. Kasema atawakimbiza ile mbaya kwenye Social Media..
 
Yaani kuhusu Manara acha tu. Kasema atawakimbiza ile mbaya kwenye Social Media..
Hahahaaa. Tatizo hajazowea Ubingwa hivyo tunamuacha tu abwabwaje halafu sie kazi yetu inabaki kuhifadhi maneno yake kwani ipo siku yatamuumbua.
 
Hahahaaa. Tatizo hajazowea Ubingwa hivyo tunamuacha tu abwabwaje halafu sie kazi yetu inabaki kuhifadhi maneno yake sababu ipo siku yatamuumbua.
Anasema mlianza kumchafua nyie kwa hivyo jiandae kisaikolojia
 
Anasema mlianza kumchafua nyie kwa hivyo jiandae kisaikolojia
Hahahaaaaa. Kwa kuwa tunamjua ni mtu wa aina gani. Akaaaaaa.

Tunamuacha aseme tu kwa kweli sababu ligi ikishaisha ndani ya Mwezi yameshapita tunaganga yajayo.

Ila pale kama ni mtu wa Kuwabwabwajia tu mmepata Mtani. Teh
 
Simba bingwa milele [emoji196] [emoji196]
IMG_20180512_202023_599.jpg
 
Back
Top Bottom