Kwa nini mkuu?Siipendi Yanga wala simba.
Ila kama Azam tutashindwa kubeba ndoo basi ni heri Kandambili wabebe,kuliko Mikia.
Damned if you do it, damned if you don't. Yanga mbele kwa mbele. Sasa mmehamia kwenye viatu vya refa.Yanga Mbeleko Zimezidi Kwani Hata Refa Kavaa Viatu Vya Njano Kuonyesha Jinsi Gani Yupo Upande Wenu.
Kwa hiyo baada ya hapo Yanga wanaongoza ligi.Walikuwa wanaongoza goli moja Na ndilo waliloshinda hadi mwisho
Hivi kuna asiyeipenda Yanga au unafiki tu?Kumbe unaipenda YANGA
Wanafiki hao!Hivi kuna asiyeipenda Yanga au unafiki tu?
Hahahaah ndio wanaongoza ligi kwa mudaKwa hiyo baada ya hapo Yanga wanaongoza ligi.
Tunapenda timu zetu ambazo haziwezi kuingia kwenye makundi ya mashindano ya kimataifa ,ni kama mwanafunzi anayefaulu mitihani ya ndani national wise anashindwa .mpira wetu ni jipuHovyo Sana, hasa mafanikio yakiwa kwa mpinzani wako!
Ndimu tunda zuri sana viporo vyote havikuchacha yanga mbele kwa mbele nyuma mwiko.Hivi kuna asiyeipenda Yanga au unafiki tu?
Ccm ndio wametukimbizia mashabiki wetu wa Yanga. Kuna miboya ya ccm pale yanga wanaifungamanisha Team na chama chao cha washirikina.Hivi kuna asiyeipenda Yanga au unafiki tu?
Nimekasirika leo Kivuyo hajaripoti.Ndimu tunda zuri sana viporo vyote havikuchacha yanga mbele kwa mbele nyuma mwiko.
Hahahahaaa ila mioyoni mwao watabaki kuwa mashabiki wa Yanga milele.Ccm ndio wametukimbizia mashabiki wetu wa Yanga. Kuna miboya ya ccm pale yanga wanaifungamanisha Team na chama chao cha washirikina.
Shabiki wa yanga huyo/QUOTE]
Intake radhi mkuu!!
Hata cancer na ukimwi ukiambiwa lazima uuchague ugonjwa mmoja,lazima uchague!!
Vipolo vimeisha!, Kula mtu ashinde zake sasaHahahaah ndio wanaongoza ligi kwa muda
Nifah Kama nakuona vileee!, halahala tanesco umeme Na mvua hizi!. Halafu unajua Kivuyo Ni mwanachama wa mikia ila hali waliyonayo mikia Na style yake ya utangazaji wanajikuta wanamchukia yeye kuliko hata YangaOyo oyoooooo oyoooooo
Leo namsubiria ripota kipenzi Hemed Kivuyo kwa hamu 😛😛
Yanga timu ya wananchi!, asiyeipenda sio mwananchi kabisaaa!. Unajua tuna wageni wengi hapa kwetu kutokana Na migogoro hii ya maziwa makuu.Hivi kuna asiyeipenda Yanga au unafiki tu?
Leo mnyama atawazidi mechi mojaVipolo vimeisha!, Kula mtu ashinde zake sasa
Leo mnyama atawazidi mechi moja
Kwa kushinda au atazidi idadi ya mechi?Leo mnyama atawazidi mechi moja