Live Updates YANGA SC VS MTIBWA SUGER leo tr. 16/04/016

Live Updates YANGA SC VS MTIBWA SUGER leo tr. 16/04/016

Yanga Mbeleko Zimezidi Kwani Hata Refa Kavaa Viatu Vya Njano Kuonyesha Jinsi Gani Yupo Upande Wenu.
Damned if you do it, damned if you don't. Yanga mbele kwa mbele. Sasa mmehamia kwenye viatu vya refa.
 
Hovyo Sana, hasa mafanikio yakiwa kwa mpinzani wako!
Tunapenda timu zetu ambazo haziwezi kuingia kwenye makundi ya mashindano ya kimataifa ,ni kama mwanafunzi anayefaulu mitihani ya ndani national wise anashindwa .mpira wetu ni jipu
 
Ccm ndio wametukimbizia mashabiki wetu wa Yanga. Kuna miboya ya ccm pale yanga wanaifungamanisha Team na chama chao cha washirikina.
Hahahahaaa ila mioyoni mwao watabaki kuwa mashabiki wa Yanga milele.
 
K
Oyo oyoooooo oyoooooo
Leo namsubiria ripota kipenzi Hemed Kivuyo kwa hamu 😛😛
Nifah Kama nakuona vileee!, halahala tanesco umeme Na mvua hizi!. Halafu unajua Kivuyo Ni mwanachama wa mikia ila hali waliyonayo mikia Na style yake ya utangazaji wanajikuta wanamchukia yeye kuliko hata Yanga
 
Hivi kuna asiyeipenda Yanga au unafiki tu?
Yanga timu ya wananchi!, asiyeipenda sio mwananchi kabisaaa!. Unajua tuna wageni wengi hapa kwetu kutokana Na migogoro hii ya maziwa makuu.
 
Back
Top Bottom