Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Bila kuchukua kombe!? How?kwa mpira huu yanga itakua timu ya kwanza kumaliza ligi bila kufungwa na bila kuchukua kombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kuchukua kombe!? How?kwa mpira huu yanga itakua timu ya kwanza kumaliza ligi bila kufungwa na bila kuchukua kombe
kutofungwa haimaanishi utafungaBila kuchukua kombe!? How?
Kumbe na wewe ulimuona mkuuYule mshika kibendera hata aibu alikuwa haoni makosa yanatendeka mbele yake kibendera anaweka chini mpaka rafa anaamua
Kila.mtu alimwona ila Mwakalebela hayo hawezi kuyaonaKumbe na wewe ulimuona mkuu
Mkuu usinifananishe na utopolonaona mmerudi
IchunguzeHii mechi ichunguzwe kuna kila dalili Mtibwa wameuza mechi ama baadhi ya wachezaji wa Mtibwa wamepewa kamlungula.
Wamekosa goli la wazi kwa makusudi kabisa.
Dah, Siamini kuwa umeibuka....ndg zetu sisi ni watani wa jadi tu... Sio vizuri kupotea namna hiyo....! Homework ninayokupa nenda kaongee na benchi lako la ufundi pamoja na wachezaji....Achana na kulalama na marefa. La sivyo Utasusa kila siku.Karibu J'4 saa kumi jioni uone SOKA LILILOENDA SHULE.Narudia tena kusema tarehe 23 kwa mkapa simba anaolewa live bila chenga na mwarabu.
Yanga sio wajinga kushonesha suti tunajua utelebwe unaolewa na mwarabu na harusi lazima tuwepo, nyie si wazee wa biriani sasa j nne mnakula biriani la waarabu, ikiwa ni maandalizi ya kwenda kupigwa hamsa pale mjini Cairo
Sisi watani wetu wa jadi ni al ahly utopolo ni majirani zetu wao level yao ni ihefu au kagera sugarDah, inabidi tushukuru wote kwa Ushindi huu unaombatana na pointi 3, La sivyo .....Watani zetu Ndo wangekuwa washasusa,.. !! Yaani saa hivi tungekuwa tunawaza Mtani wa Jadi awe IHEFU au Kagera Sugar?....!
Huyu nae aliku wepo kwenye ule msafara uliofika leo[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Goli moja mlilopata ndo limewatoa mafichoni!!
naona mnavamia kumbi
Wote mmegongwa Jana .Fuatilia press aliyofanya kubwa-jinga Mwakalebela jana ewe kidimbwi