Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

Yule mshika kibendera hata aibu alikuwa haoni makosa yanatendeka mbele yake kibendera anaweka chini mpaka rafa anaamua
 
Dah, inabidi tushukuru wote kwa Ushindi huu unaombatana na pointi 3, La sivyo .....Watani zetu Ndo wangekuwa washasusa,.. !! Yaani saa hivi tungekuwa tunawaza Mtani wa Jadi awe IHEFU au Kagera Sugar?....!
 
Narudia tena kusema tarehe 23 kwa mkapa simba anaolewa live bila chenga na mwarabu.
Yanga sio wajinga kushonesha suti tunajua utelebwe unaolewa na mwarabu na harusi lazima tuwepo, nyie si wazee wa biriani sasa j nne mnakula biriani la waarabu, ikiwa ni maandalizi ya kwenda kupigwa hamsa pale mjini Cairo
 
Dah, Siamini kuwa umeibuka....ndg zetu sisi ni watani wa jadi tu... Sio vizuri kupotea namna hiyo....! Homework ninayokupa nenda kaongee na benchi lako la ufundi pamoja na wachezaji....Achana na kulalama na marefa. La sivyo Utasusa kila siku.Karibu J'4 saa kumi jioni uone SOKA LILILOENDA SHULE.
 
Dah, inabidi tushukuru wote kwa Ushindi huu unaombatana na pointi 3, La sivyo .....Watani zetu Ndo wangekuwa washasusa,.. !! Yaani saa hivi tungekuwa tunawaza Mtani wa Jadi awe IHEFU au Kagera Sugar?....!
Sisi watani wetu wa jadi ni al ahly utopolo ni majirani zetu wao level yao ni ihefu au kagera sugar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…