jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 556
- 830
Mwingine niliwahi kumuona pale Malindi.itakuwa wakuchora kama wapale makumbusho
Tunacheza na timu bora Mkuu, usitegemee magoli rahisi.
Domayo inabidi atafute timu nje ya nchi ana uwe mkubwa sana. Dk ya 44 bila bila.
Hapa TZ hakuna timu inayo itwa Mnyama, labda ligi za mchangani.hapa tz kuna timu ngapi ziitwazo mnyama
bado tu...?
Kona zote hizi Yanga wanazopata awazitumii ipasavyo,kushambulia wanashambulia sasa tunataka Magoli Mpira ni mapumziko
tusubiri kipindi cha pili sasa watatoka..Ht,
0,0
Forward yetu inawalea
Yanga wameogopa nini? mbona uwanja haujajaa kabisa.