LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Yanga wameniudhi kutokuonesha mechi!Kwani mnaroga mchana nyie watu!Natamani mfungwe kwa aibu,Sijapenda kabisa na huu ujima wa kutokuonesha mechi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kona zote hizi Yanga wanazopata awazitumii ipasavyo,kushambulia wanashambulia sasa tunataka Magoli Mpira ni mapumziko
 
1796542_631254443594873_1829315303_n.jpg
 
Manji kaniuzi sana watu tunataka tuone mechi sio upumbavu wa kuskilizia jamii forum na tbc
 
Forward yetu inawalea

Sio inawalea, mnacheza na timu inayojua inachofanya maana mngekutana na zile mnazojipigia saba, tano, saba sahivi mngekuwa na goli hata tatu, kwa hiyo kipindi cha pili mngepiga zingine tatu au nne lakini si kwa hawa waarabu.
 
Ki ukweli huu mpira yanga wanahitaji ushindi tu sio droo wala kufungwa..
 
Back
Top Bottom