LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Ni aibu mechi kubwa kama hii kutooneshwa na local tv stations.

Ni aibu kwako ww kutotoa sh t10000 tu na kwenda angalia live game

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Manji kaniuzi sana watu tunataka tuone mechi sio upumbavu wa kuskilizia jamii forum na tbc

Uongozi Wa Yanga Ni Wa Mtu Mmoja
Akisema Hapana Wote Mnanyea Mnakubaliana Naye Hamna Kuhoji.
 
Wahujum mapato utawajua tu,wanataka mech irushwe tbc afuu timu isipate mapato ya mlangon

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
yanga wakishinda mtaan kelele,,waarabu wakishinda aibu yetu watz...duuuuh tabu tupu hakuna hafadhar sa sijui niombee draw....
 
Ni aibu kwako ww kutotoa sh t10000 tu na kwenda angalia live game

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Kwa akili yako wewe watanzania wote wanaishi Dar?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
...naam mpira umeanza kwa ngwe ya mwisho.

Mabao ni 0,0
 
Uongozi Wa Yanga Ni Wa Mtu Mmoja
Akisema Hapana Wote Mnanyea Mnakubaliana Naye Hamna Kuhoji.
hiii ni kutoka kwenye page ya yanga..
 
Hakuna mabadiliko yeyote kwa timu zote mbili. Kipindi cha pili hichooooooo...
 
dk ya 3 kipindi cha2

Yanga 0-0 Al Ahly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…