Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Macho yako mabovu?
Mpwa leo Okwi yupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Macho yako mabovu?
Haya pigeni 7 tena kama ni wanaume kweli.
Ni aibu mechi kubwa kama hii kutooneshwa na local tv stations.
Manji kaniuzi sana watu tunataka tuone mechi sio upumbavu wa kuskilizia jamii forum na tbc
Ngoja niendelee kuloga
washajua kuna kichapo kina nyemelea ndio maana..Yanga wameogopa nini? mbona uwanja haujajaa kabisa.
Ni aibu kwako ww kutotoa sh t10000 tu na kwenda angalia live game
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Wadau hakuna channel inayoonyesha mpira wa yanga na hawa waarabu?
hiii ni kutoka kwenye page ya yanga..Uongozi Wa Yanga Ni Wa Mtu Mmoja
Akisema Hapana Wote Mnanyea Mnakubaliana Naye Hamna Kuhoji.
Young Africans Sports ClubNaona Kazi imebakia kuisema Young Africans vibaya, SGM waliingia mkataba na Yanga, Yanga nao walichagua kituo cha kufanya nacho kazi, sasa tunashangazwa na Taarifa zinazoenezwa kwamba tumekataa kuwapa wao nafasi ya kuonyesha mpira leo.
Kama wana uhakika na wanachokisema waonyeshe barua ya hao waliowaomba kutumia kituo chao kuonyesha mchezo wa leo.
Walianza na kusema wameombwa Uwanja wa mazoezi, Balozi wa Misri akakanusha na kuleta barua ya maombi ya uwanja kwetu tukashirikiana nao kupata IST.
Hivyo ni bora tukawa tunatoa taarifa zenye uhakika wa maandishi kama ni kweli kudhibitisha kauli hizo, vinginevyo ni kuendelea kujipunguzia thamani kwa taarifa za Uongo.
Tukutane Uwanja wa Taifa tukamnyoe Al Ahl
Mpwa leo Okwi yupo?