Ushindwe na ulegee!!!!
hiii ni kutoka kwenye page ya yanga..
We unadhani kila mtu yuko Dar???!!!!!Ni aibu kwako ww kutotoa sh t10000 tu na kwenda angalia live game
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Yanga wameogopa nini? mbona uwanja haujajaa kabisa.
[h=5]Azam TV[/h]9 hours ago
Tumepokea maswali na simu nyingi sana zikiuliza kama Azam TV itaonesha mechi kati ya Yanga na Al Ahal leo, jibu ni kwamba HAPANA...
ukweli ni kwamba tulipokea maombi toka kwa agent aliyenunua pambano kwa niaba ya Watu wa Misri ambaye aliomba Azam TV impe gharama za kuzalisha ili kuweza kupeleka feed yenye ubora wa kimataifa North Africa & Middle East na ikiwezekana kuonesha nchini Tanzania. Katika vikao vyote na Agent Azam TV iliweka wazi kuwa ipo tayari kuzalisha bure na hata kama ikibidi kuonesha delayed sawa kwa kuwa Yanga walionesha wazi kuzuia Live Coverage nchinikwa kuhofia mapato kupungua.
Bahati mbaya Yanga waliikataa Azam TV na kuamua kutoa pesa waliyolipwa kukilipa kituo kimoja nchini ambacho ndicho kilichopewa kandarasi kwa malipo licha ya kutokidhi vigezo vya watu wa Egypt ambao walitaka angala 8 Camera OB na Azam TV iliwapa 10 Camera OB with HD Feed
Kwa taarifa hii tungependa kuwaarifu wateja wetu kuwa Azam TV ilikuwa tayari kuwapa Yanga na Agent ushirikiano wote ili pesa yote waliyopewa na Watu wa Misri iingie klabuni lakini wao wameamua kuitumia kulipia production iliyo sub-standard ili mradi tuu kuinyima fursa Azam TV
Pamoja na haya yote Azam TV inaitakia kila la kheri klabu ya Yanga kwenye mchezo wake wa leo, na inaamini matatizo hayapo kati ya Azam na Yanga kama taasisi bali mtu mmoja mwenye nguvu ndani ya Yanga
atolewe sasa naona washaanza kupunguza watu kijanja..Oscar Joshua anapewa kadi ya chano..
Mkuu ulipaswa kumalizia kwa kumtaka aige mfano wa Rage anavyoitengeza sana Simba.Huyu Manji, anaiharibu sana Yanga.
vipi wameokoa..Kona kwenda yanga...
atolewe sasa naona washaanza kupunguza watu kijanja..
tupo pamoja tunasikilizia tu utamu..Dk ya 53 bado mabao ni bila bila kwa timu zote.