LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Dak ya 65, Bado matokeo ni bila kwa bila. Bado pagumu
 
dk 23 kipindi cha 2;


Yanga 0-0 Al Ahly
 
Yan hiyo sare ni kama mumepigwa 3 kwa nunge,mkiemda cairo ni mvua za kutosha
 
dk 28 kipindi cha 2;


Yanga 0-0 Al Ahly


"waarabu wameisha wasoma Yanga, wanaanza kuegesha BUS"
 
Back
Top Bottom