Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
- Thread starter
-
- #321
Chupa zinarushwa hapa uwanjani..hili ndio tatizo la viroba.
Ingekuwa Simba Tungekuwa Tunaongaza 4
Dak ya 65, Bado matokeo ni bila kwa bila. Bado pagumu
yanga nne (4) mwarabu koko o
Simba hii inayofungwa na Mgambo?
Simba hii inayofungwa na Mgambo?
Ulitakiwa useme "Naona dalili ya kutolewa". Sio Naona dalili ya kutolewa kwa tabu. Kwani kuna kutolewa kusiko kwa tabu?
mbona hawafungan??