LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

Hawa yebo yebo mimi sioni hata kama wanadalili ya kupata japo hata goli la penalty.
 
dk 40 kipindi cha 2;

Yanga 1-0 Al Ahly
 
Naona Mmepata La Kujifariji
Wiki Nzima Wataongea Sana
 
Okwiiiiiiiiiiiii.........Yanga wanapata goliii Yanga 1-0 Al ahly

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
dk 41 kipindi cha 2;

Yanga 1-0 Al Ahly
 
Yanga mtafia cairo.

Wanachofanya waarabu wanawasoma yanga mpira wao kisha wakienda kwao watafute mbinu zakuwabana uwanjani ili wawazibue vibaya...wameshinda moja but tutegemee historia ya 82 kujirudia,Dar 1-1 Cairo 5-0.
 
...jezi nyekundu hazionekani tena!
 
Wanachofanya waarabu wanawasoma yanga mpira wao kisha wakienda kwao watafute mbinu zakuwabana uwanjani ili wawazibue vibaya...wameshinda moja but tutegemee historia ya 82 kujirudia,Dar 1-1 Cairo 5-0.
ngoja tuone ila wamewakosa goli nyingi sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…