Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dk 37 yanga wanapata goli.kanavaro ndo mfungaji.
ni hii au..Goooooooooooooooo.....
kingine muda wote alikuwa wapi mpaka dk hizi za mwisho..Alipiga vizuri. Kaleta kona. Kona goooli. Sema kingine
Yanga mtafia cairo.
subiri magazeti ya kesho sijui tu..Naona Mmepata La Kujifariji
Wiki Nzima Wataongea Sana
Naona Mmepata La Kujifariji
Wiki Nzima Wataongea Sana
ngoja tuone ila wamewakosa goli nyingi sana..Wanachofanya waarabu wanawasoma yanga mpira wao kisha wakienda kwao watafute mbinu zakuwabana uwanjani ili wawazibue vibaya...wameshinda moja but tutegemee historia ya 82 kujirudia,Dar 1-1 Cairo 5-0.