Mtakufa na pressure.
Hivi Azam kwenye ile mechi waliyocheza hapa nchini na wale wamakonde walitoka ngapi ngapi?
ndetichia fya.
Hongereni Yanga kwa kuwafunga waarabu kwa mara ya kwanza.
Hahahahaha baada ya wiki njoo hapa uongee tena hivi mkuu ndo ntakubali ila pressure itawauwa nyinyi wenyewe wazee wa jangwa mtapobugizwa goal kadhaa,mwarabu hajacheza mpira leo we mwenyewe unajua,ule sio mpira wao wale jamaa but kwa sasa jifarij kwanza then next wik kabla ya j.mosi ijayo kacheck afya mapigo ya moyo na vitu kama hivyo kabla hujaamua kufuatilia mechi ya marudiano maana Cairo hamtatoka.
Mwanzoni ilikuwa hapa,sasa imekuwa Cairo? Huo ndio uhuni ninaosema. Kama timu ilikuwa ikitengeneza nafasi, iweje goli liwe la bahati? Hao nduguzo walipotezwa mbaya. Na huo mpira wa kusubiri nyumbani ni wa kale, siku hizi unapigwa nje ndani. Kama unajua, unajua tu. Ucheni unazi wakagi mwingine.
Halafu mishabiki ya Simba ustaarabu sifuri kabisa, imeng'oa viti na kuanza kuwarushia Tawi la Yanga la Wakali wa Terminal 'UBT'...
TFF kama ikiwezekana hawa Simba waadhibiwe na wapigwe marufuku kabisa kuingia Main Stadium...
Mkuu acha mkwRa mbuzi,hiyo timu ya kupiga nje ndani ni Yanga hii hii au ni Yanga ya ndotoni
Simba hawakukucheza, mashabiki hao waliong'oa viti ni wa Al Ahly. Je Al Ahly wanaweza kupigwa faini na TFF? Majamaa yatakataa kuwa hayakuja na mashabiki Tanzania. Simba nao watasema ni kichekesho kwa vile timu yao haikucheza. TFF imekula kwao, watafidia uharibifu huo kupitia mgawo wao na ule wa DFRA.
Nenda muhimbili ukachunguzwe maake jamaa tayari wameisha fungwa na wewe hutaki!!Mkuu em nisaidie kumwambia huyu mdau maana naona hanikubali,waarabu hawakucheza mpira wao leo wangecheza kama wanavyocheza kwa kasi huyu jamaa saiz asingekuwa humu angekuwa anatetemeka baridi akati yupo Dar penye joto kali..nakataa Dar-Es Salaam Young Africa hawana uwezo wa kuifunga Al Ahly kotekote,nyumbani na ugenini haitakaa itokee.
Mkuu acha mkwRa mbuzi,hiyo timu ya kupiga nje ndani ni Yanga hii hii au ni Yanga ya ndotoni
Mkuu wale wahuni namna walivyokuwa wakirusha viti si ajabu serikali ikazipiga chini timu zetu kutumia uwanja.
Wale ni mashabiki wa Simba na wala hawakuwa wa Ahly...mashabiki wa Ahly hawakukaa jukwaa la mzunguko.
mkuu, mm walinikera sana yani...wao hasira kidogo wanahamishia katika viti, kweli hali ikiendelea hv serikari inaweza kuzuia uwanja wake.Halafu mishabiki ya Simba ustaarabu sifuri kabisa, imeng'oa viti na kuanza kuwarushia Tawi la Yanga la Wakali wa Terminal 'UBT'... TFF kama ikiwezekana hawa Simba waadhibiwe na wapigwe marufuku kabisa kuingia Main Stadium...
Mkuu em nisaidie kumwambia huyu mdau maana naona hanikubali,waarabu hawakucheza mpira wao leo wangecheza kama wanavyocheza kwa kasi huyu jamaa saiz asingekuwa humu angekuwa anatetemeka baridi akati yupo Dar penye joto kali..nakataa Dar-Es Salaam Young Africa hawana uwezo wa kuifunga Al Ahly kotekote,nyumbani na ugenini haitakaa itokee.
kuna watu huu ushindi wa yanga, wameamua kujitoa ufahamu mkuu.Hebu tusaidieni, mpira wa waarabu ni upi? Kwa hiyo leo wameamua tu kufungwa? Akili za kisomali hizi. Vipi maendeleo ya uwanja maana siku zinakatika.
Ni kweli wale ni Simba, kikanuni Simba hawatahusika na uharibifu huo, narudia TFF imekula kwao.
Nadhani kosa liko kwa wanausalama wetu. Kama hakuna arrests zilizofanyika, jeshi la polisi linapaswa kulipa fidia.
naona umeamua kushindana na Alinacha + Abunuwasi kuota ndoto. Endelea huwenda zako zikaja kuvuma zaidi yao othewise "Mission is impossible"