LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

ingekuwa ni simba, sasa hivi ingekuwa ni vilio tu watanzania
 
Yanga wana hali ngumu bado....Jiandaeni kwenda kupata mvua ya magoli Misri...
 
avatar197361_2.gif
i like your avatar..

So beautiful.
 
Hivi Azam kwenye ile mechi waliyocheza hapa nchini na wale wamakonde walitoka ngapi ngapi?

ndetichia fya.

Hongereni Yanga kwa kuwafunga waarabu kwa mara ya kwanza.
 
Nashukuru Mungu Al Ahly hawajapata bao ugenini.
Kaka hongereni nikumbushe eti ni lini Yanga iliwafunga Waarabu hata hapa nyumbani...naanza kuona matunda ya kuchukua wachezaji waliowapaiga tano,akimchukua na Kapombe ,Kazimoto na Bobani aisee mbona mtatisha!
 
Al ahly washukuru Ngasa hajacheza leo la sivyo angewapiga hat-trick kama wale wacomoro au Ruvu shooting
 
Mungu ibariki Yanga Mungu ibariki Tanzania.
Yanga tulikuwa nafasi nzuri ya kushinda zaidi zaidi ya mabao 3.
 
Hilo Linajulikana, Yanga Michezo Yao Wanachezea Kwenye Magazeti

Watu wengine sijui mna laana!..

Hivi hamuoni aibu?..

Kwani Yanga hawajafunga goli?..

Rage anawaharibu sana nyie, huko nyuma hamkuwa hivyo..haishangazi hamjashiriki mashindano ya CAF mara mbili mfululizo na mnaelekea mara ya 3

Mpira wa miaka hii sio sawa na wa mwaka 47

Al Ahly anaweza akafungwa hata kwao Cairo..
 
Back
Top Bottom