Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Lile goli zuri sanaDah bonge la goli!!
Azam 1 vyura1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile goli zuri sanaDah bonge la goli!!
Azam 1 vyura1
Mkuu asante kwa taarifaSAA 12 Na Stoke city
Yap hawa yanga wanaweza kuleta madharaAzam wanapanda wote hii itawasababisha wafungwe magoli mengi
Sahivi Azam wanakimbiza tu mpira naona Boko hana msaadaYap hawa yanga wanaweza kuleta madhara
Vyura wamepata goliDah vipi hapa
Na ndicho kilichotokea aiseeAzam wanapanda wote hii itawasababisha wafungwe magoli mengi
Unasemaje sasa?Dah bonge la goli!!
Azam 1 vyura1
Unasemaje wewe binti?Wanaume washapigwa huko
Labda tumuulize Ngoma mkuu.Dah vipi hapa
Mbeleko FCUnasemaje sasa?
Hihihihihiiiiiiii
Umekuja hukuOyo,oyo,Oyooooooooooo!
Hureeeee huku ni raha tu.
Asante Ngoma.
Kabisa mkuu wanataka kushambulia Sana lakini italeta madhara kwao maana yanga wakipata Mpira wanapiga pasi ndefuNa ndicho kilichotokea aisee
Mkuu umerudi? Bado mpira dk 90Unasemaje wewe binti?