Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
- Thread starter
- #81
Wameanza kupoteza muda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatakiwa wabadilishe mfumo wao wa uchezaji.Azam wameshikwa kwa kweli
kwani hawawezi kuchomoka mkuu??wajinasueAzam wameshikwa kwa kweli
Yanga 2-Azam 1Jamani ndo naingia Jf muda huu naomba updates kutoka taifa.
Habari....yanga washapiga 3....moja tumewapa nyieJitie ujinga tu.
Umetengua kauli?Kabisa....!!!!
Nani kapigwa nyekundu?naona arsenal wamebaki 10 uwanjani
Nipe updatesUmeshuhudia goli hilo??
Nenda kawaulize mikia wanaendelea na vikao vya kusutana kila wakiamka wanawaza bao 2-0Yanga uwezo wao bado sana aisee
Mpira magoli...we unataka uwezo upi hasaYanga uwezo wao bado sana aisee
LAKINI WANAONGOZA!Yanga uwezo wao bado sana aisee
Yanga Afrika,Yanga ya Kimataifa.Hi ndo yangaaaaaaaa