ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Umeongea point sana mkuu, binafsi nime enjoy sana hii mechiKuna mechi inayoendelea saizi kati ya KMC na Majimaji
KMC wanacheza vizuri kuliko yanga, sometimes bora tuwe tunaweka updates kwenye mechi kama hizo kuliko kumuangalia mayele akijiangusha peke yake kwenye box
Mkuu kwanini yanga sikuhizi slogan yenu hamuitendei haki mnaishia kusema tu "daima mbele" mnashindwa kumalizia, kwanini ??.
Hawana huo ubavuUtopolo Kama na yenyewe ni timu kubwa ipange kikosi B
Mkuu unataka life jitu au ?? [emoji23]Utopolo Kama na yenyewe ni timu kubwa ipange kikosi B
🤣🤣🤣🤣 hawataki mwiko uingie nyumaMkuu kwanini yanga sikuhizi slogan yenu hamuitendei haki mnaishia kusema tu "daima mbele" mnashindwa kumalizia, kwanini ??.
Nani kaku zuia kuweka hizo updates?Kuna mechi inayoendelea saizi kati ya KMC na Majimaji
KMC wanacheza vizuri kuliko yanga, sometimes bora tuwe tunaweka updates kwenye mechi kama hizo kuliko kumuangalia mayele akijiangusha peke yake kwenye box