balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Uko serious kweli?Kila la kheri Ihefu Fc.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko serious kweli?Kila la kheri Ihefu Fc.
Anacheza na timu ya First league mzee ulitaka napo acheze vibaya?Kuna mechi inayoendelea saizi kati ya KMC na Majimaji
KMC wanacheza vizuri kuliko yanga, sometimes bora tuwe tunaweka updates kwenye mechi kama hizo kuliko kumuangalia mayele akijiangusha peke yake kwenye box
kwa hiyo nyuma sio mwiko?
Kila mtu acheze mechi zakeHawa NGURUWE kumbe waoga kiasi hiki.
Yani hadi IHEFU munawapangia full squad?
HAKUNA KIKOSI KIPANA HAPA.
watakuja wakifunga goli ,bila hivo huwaoniWananchi mko wapi mbona kama mmesusa?
Hii ni Asfc wao walichukua NBC premier leagueHivi kama tbc hawawezi kutangaza mpira kwenye radio walichukua ya nini haki ya matangazo? Au ni kwa ligi kuu tu
Makambo kawatanguliza, sa sijui hawajaridhika na goli moja?watakuja wakifunga goli ,bila hivo huwaoni
Hatuhangaikagi na vimechi vidogo vidogo kama hiviWananchi mko wapi mbona kama mmesusa?
Vimechi vidogo vidogo halafu unaweka kikosi cha kwanza?Hatuhangaikagi na vimechi vidogo vidogo kama hivi
Vuta picha yule beki wa JKT angekuwa makini na ule mpira usingemgonga mgongoni. Mechi ingekuwaje jana?Hawa NGURUWE kumbe waoga kiasi hiki.
Yani hadi IHEFU munawapangia full squad?
HAKUNA KIKOSI KIPANA HAPA.