ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Simba ana anza kikosi cha kwanza panga panguaMukoko Tonombe anakaa benchi mpaka mechi za bonanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ana anza kikosi cha kwanza panga panguaMukoko Tonombe anakaa benchi mpaka mechi za bonanza
Unateseka ukiwa wapiMukoko Tonombe anakaa benchi mpaka mechi za bonanza
Unaumia ukiwa wapi?Magoli aliyokosa ni mengi zaidi kuliko aliyofunga, no wonder hakugusa mpira kwenye derby
Simba anaanza first elevenMukoko Tonombe anakaa benchi mpaka mechi za bonanza
BallerAuchoooooo fundiiiii
Kwani Ihefu iko ligi ipi vile?Mpaka sasa wamesha pigwa 3 bila, usicheze na yanga
Ni mchezaji mzuri ila tusifike huko. [emoji23]Baller
Ananikumbusha enzi za prime Mesut Ozil, football look as an easy game hasa akiwa na mpira mguuni kwake
Kwani Jkt Tanzania ipo ligi gani vile?Kwani Ihefu iko ligi ipi vile?
Ndiyo maana jana ilipangiwa kikosi stahikiKwani Jkt Tanzania ipo ligi gani vile?
Passing skills(Pass accurate)Ni mchezaji mzuri ila tusifike huko. [emoji23]
AyaPassing skills(Pass accurate)
Vision
Soft touches
High pressing
Key factors for prime Mesut Ozil, ninapoangalia Aucho Khalid anachokifanya kwa uwezo wake, anatembea kwenye factors hizohizo
Kagere, Wawa, Kibu Denis,Kapombe, Kanoute, Mzamiru, ni kikosi cha pili?Ndiyo maana jana ilipangiwa kikosi stahiki
Aucho, moloko, ntibayonkiza, feisal, diara, job, nk hao ni kikosi gani?Makambo kikosi Cha kwanza?