LIVE: YANGA SC Vs IHEFU FC

LIVE: YANGA SC Vs IHEFU FC

Furaha yetu SIMBA SC ni utonyoko avuke mpaka fainal tumkumbushe kuwa hawezi beba ubingwa!
 
Ni mchezaji mzuri ila tusifike huko. [emoji23]
Passing skills(Pass accurate)
Vision
Soft touches
High pressing

Key factors for prime Mesut Ozil, ninapoangalia Aucho Khalid anachokifanya kwa uwezo wake, anatembea kwenye factors hizohizo
 
Passing skills(Pass accurate)
Vision
Soft touches
High pressing

Key factors for prime Mesut Ozil, ninapoangalia Aucho Khalid anachokifanya kwa uwezo wake, anatembea kwenye factors hizohizo
Aya
 
Kwani Paul Godfrey si kaachwa au mnatafuta achomeshe mpate sababu ??
 
Yanga wali kaa karibu siku kumi bila kucheza walipo kutana na Simba kasi ya wachezaji ilikua haikosawa na ili wasaidia Sana Simba kupata sare, baada ya mechi na Simba ukiwaweka tena nje bila kucheza mechi yoyote unazidi kuiua timu. Kitaalamu lazima uwape mechi angalau dakika 60-65 ili wapate sharpness.
 
Back
Top Bottom