LIVE: YANGA SC Vs IHEFU FC

Tumeonekana mara mbili mfululizo hivyo inatosha kabisa kuonekana mwanaume.
Haikuwa mara mbili mfululizo. Msimu uliofuata mlitolewa kwa suprise ya UD Songo kama ilivyokuwa kwa Galaxy
 
Hawa Mods sijawaelewa ,jana mechi ya Simba wameweka live kwa alama nyekundu mpaka sahizi mkeka unaonekana live ,Ila mechi ya yanga hawajaweka live nyekundu
Mods wana mambo mengi na ya msingi ya kufanya ukiachana na kuhangaika na utopwex
 
Namungo ni timu kubwa kuliko yanga kulingana na rank za CAF.
Ni sahihi kwasababu ndani ya misimu mitano waliweza kuingia makundi ya shirikisho. Kwenye mpira kuna kupanda na kushuka, wakati yanga wanaingiza point 2.5 kwenye rank za CAF simba haikuwahi kupata point yoyote ile.
 
Haikuwa mara mbili mfululizo. Msimu uliofuata mlitolewa kwa suprise ya UD Songo kama ilivyokuwa kwa Galaxy
Nyie mara yenu ya mwisho kufika hata makundi tu ya CCL Ilikua ni lini [emoji38]
 
Ni sahihi kwasababu ndani ya misimu mitano waliweza kuingia makundi ya shirikisho. Kwenye mpira kuna kupanda na kushuka, wakati yanga wanaingiza point 2.5 kwenye rank za CAF simba haikuwahi kupata point yoyote ile.
Mnapenda sana historia, mara ya mwisho mnaingia makundi ya Caf Ilikua ni 1998 [emoji23]
 
Nikiwa kwenye hatua ya makundi ya kombe la shirikisho la afrika unaweza kuita caf confederation.
Unapolala utopolo ndo alipoamkia.

Maana hiyo stage utopolo aliingia 2017.

Kwahyo kwa utopolo hyo stage sio issue.
 
Unapolala utopolo ndo alipoamkia.

Maana hiyo stage utopolo aliingia 2017.

Kwahyo kwa utopolo hyo stage sio issue.
2017 ?? [emoji23] .. tulifika fainali mwaka 1993 unaongelea 2017 like serious mkuu ??.
 
ndio level zenu hizi za mchangani na marefa wenu wa mchongo na ndio maana kimataifa hamtoboi
Wewe unaetoboa kimataifa una makombe mangapi ya CAFCl na CAFCONF?
 
Wewe unaetoboa kimataifa una makombe mangapi ya CAFCl na CAFCONF?
Naweza nisichukue makombe lakini mafanikio yangu ni makubwa sana kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuwabeba nyie lakini ndo hivyo hambebeki.
 
Naweza nisichukue makombe lakini mafanikio yangu ni makubwa sana kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuwabeba nyie lakini ndo hivyo hambebeki.
Mafanikio ni kushinda ubingwa siku zote na sio kufika sehemu yeyote ile.

Kama haujachukua ubingwa basi haujafanikiwa kivyovyote vile.

Zesco utd wamefika semi final 2016 lakini hauwezi kuwasikia wakijinasibu kua wao ni level za Al ahly Wala Mazembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…