changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Haikuwa mara mbili mfululizo. Msimu uliofuata mlitolewa kwa suprise ya UD Songo kama ilivyokuwa kwa GalaxyTumeonekana mara mbili mfululizo hivyo inatosha kabisa kuonekana mwanaume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikuwa mara mbili mfululizo. Msimu uliofuata mlitolewa kwa suprise ya UD Songo kama ilivyokuwa kwa GalaxyTumeonekana mara mbili mfululizo hivyo inatosha kabisa kuonekana mwanaume.
Mods wana mambo mengi na ya msingi ya kufanya ukiachana na kuhangaika na utopwexHawa Mods sijawaelewa ,jana mechi ya Simba wameweka live kwa alama nyekundu mpaka sahizi mkeka unaonekana live ,Ila mechi ya yanga hawajaweka live nyekundu
Ni sahihi kwasababu ndani ya misimu mitano waliweza kuingia makundi ya shirikisho. Kwenye mpira kuna kupanda na kushuka, wakati yanga wanaingiza point 2.5 kwenye rank za CAF simba haikuwahi kupata point yoyote ile.Namungo ni timu kubwa kuliko yanga kulingana na rank za CAF.
Kwa Caf champions league every stage counts. hizo hizo robo fainali ndo zilituwezesha kuwabeba na mkatuaibisha.Na wanaolichukua kombe ni wanawake sio
Nyie mara yenu ya mwisho kufika hata makundi tu ya CCL Ilikua ni lini [emoji38]Haikuwa mara mbili mfululizo. Msimu uliofuata mlitolewa kwa suprise ya UD Songo kama ilivyokuwa kwa Galaxy
Wanaume wanachukua kombe sio kujisifu kwenye roboKwa Caf champions league every stage counts. hizo hizo robo fainali ndo zilituwezesha kuwabeba na mkatuaibisha.
Mnapenda sana historia, mara ya mwisho mnaingia makundi ya Caf Ilikua ni 1998 [emoji23]Ni sahihi kwasababu ndani ya misimu mitano waliweza kuingia makundi ya shirikisho. Kwenye mpira kuna kupanda na kushuka, wakati yanga wanaingiza point 2.5 kwenye rank za CAF simba haikuwahi kupata point yoyote ile.
Nyie wakina nani?Nyie mara yenu ya mwisho kufika hata makundi tu ya CCL Ilikua ni lini [emoji38]
Unateseka ukiwa wapi?Mpira umekwisha, yanga akibahatisha goli nne dhidi ya kibonde, hii ndo tunaita kutupa bomu monchwari.
Utopolo aka masele fcNyie wakina nani?
Nikiwa kwenye hatua ya makundi ya kombe la shirikisho la afrika unaweza kuita caf confederation.Unateseka ukiwa wapi?
Utopolo ndo bingwa mara nyingi wa hili taifa.Utopolo aka masele fc
Unapolala utopolo ndo alipoamkia.Nikiwa kwenye hatua ya makundi ya kombe la shirikisho la afrika unaweza kuita caf confederation.
ndio level zenu hizi za mchangani na marefa wenu wa mchongo na ndio maana kimataifa hamtoboiUtopolo ndo bingwa mara nyingi wa hili taifa.
2017 ?? [emoji23] .. tulifika fainali mwaka 1993 unaongelea 2017 like serious mkuu ??.Unapolala utopolo ndo alipoamkia.
Maana hiyo stage utopolo aliingia 2017.
Kwahyo kwa utopolo hyo stage sio issue.
Wewe unaetoboa kimataifa una makombe mangapi ya CAFCl na CAFCONF?ndio level zenu hizi za mchangani na marefa wenu wa mchongo na ndio maana kimataifa hamtoboi
Ulifika fainali kombe lipi?2017 ?? [emoji23] .. tulifika fainali mwaka 1993 unaongelea 2017 like serious mkuu ??.
Naweza nisichukue makombe lakini mafanikio yangu ni makubwa sana kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuwabeba nyie lakini ndo hivyo hambebeki.Wewe unaetoboa kimataifa una makombe mangapi ya CAFCl na CAFCONF?
Caf confederationUlifika fainali kombe lipi?
CAFCl au CAFCONF?
Mafanikio ni kushinda ubingwa siku zote na sio kufika sehemu yeyote ile.Naweza nisichukue makombe lakini mafanikio yangu ni makubwa sana kimataifa mpaka kufikia hatua ya kuwabeba nyie lakini ndo hivyo hambebeki.