Liverpool alishapangwa kuwa bingwa toka msimu mnaanza

Liverpool alishapangwa kuwa bingwa toka msimu mnaanza

Bila ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kila siku tutaendelea kusema Liverpool wanapendelewa

Wale Wolves leo walikuwa wamekaza kende mwanzo mwisho sema ndio hivyo tena hata kwenye Michezo kuna kina Jecha
 
roho za kibongo hizi. kubali tu maana huko sio kama Ziimba aka Simba na Yanga
 
Ngoja nijifunze kingleza kwene hizi Wa livakuku.
Its very sad moment for liverkuku opponent!!!
 
Ata baadhi ya waingereza wenyewe wanasema VAR imewaletea aibu kubwa hawana pa kujificha. Gwiji la Soka kutoka Uingereza Gary Lineker amejikuta mwenye huzuni kubwa kwa jinsi Wolves walivyo fanyiwa na maamuzi ya VAR.

Sent using Jamii Forums mobile app

Eti Gary Lineker [emoji23] [emoji23][emoji23]

Ivi unamjua Gary Lineker ni nani wewe? Ni Legend wa Timu wa gani?

Au hujui kuwa ni Legend wa Everton huyo? [emoji23] [emoji23][emoji23]

Hebu angalia hii Video ya Huyo Lineker akishangiria Liverpool kufungwa goli na Messi ↓↓



Sasa kama Liverpool akifungwa Lineker anafurahi, Je Liverpool ikishinda unadhani atasemaje?
 
Timu ya Liverpool pamoja na kuonekana kwamba imewapiga gap kubwa timu nyingine za EPL lakini ushindi wake katika baadhi umekuwa na utata mkubwa. Siyo upendeleo tu toka kwa marefa bali hata VAR yaani kote full upendeleo. Baadhi ya mechi ni Aston Villa , Man City , Leicester (Wakiwa nyumbani) hata hii mechi na Wolves nahisi itakuwa ni hivyo hivyo, EPL wawape kombe lao tu tumechoka upendeleo wa wazi...

Umeweka Mechi ambazo magoli ya Wapinzani yamekataliwa baada ya review ya VAR, mbona hukuweka Magoli ya Liverpool yaliyokataliwa baada ya review ya VAR?
 
VAR ni aibu tupu, hali ikiendelea hivi kuna timu itabidi ibadili jina iitwe VAR football club.
Ata baadhi ya waingereza wenyewe wanasema VAR imewaletea aibu kubwa hawana pa kujificha. Gwiji la Soka kutoka Uingereza Gary Lineker amejikuta mwenye huzuni kubwa kwa jinsi Wolves walivyo fanyiwa na maamuzi ya VAR.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EPL ligi ya hovyo kabisa..nakumbuka Leicester city wanachukua kombe big four zote zinapigwa home and away na Leicester ili Arsenal asiwe bingwa
 
Acha uchawi ndugu!VAR ilikataa goli la mane dhidi ya A.villa,man utd na watford!ikakataa goli la firminho dhidi ya A. villa!!!!sasa unaposema eti liver inabebwa nakushangaa sana!!!
 
CE747C5E-1A12-43AE-B20D-27AA94B769C8.jpeg
 
Back
Top Bottom