zimwilachi2
Member
- Aug 26, 2019
- 93
- 92
Hata UEFA ilipangwa Liverpool wachukue!Timu ya Liverpool pamoja na kuonekana kwamba imewapiga gap kubwa timu nyingine za EPL lakini ushindi wake katika baadhi umekuwa na utata mkubwa. Siyo upendeleo tu toka kwa marefa bali hata VAR yaani kote full upendeleo. Baadhi ya mechi ni Aston Villa , Man City , Leicester (Wakiwa nyumbani) hata hii mechi na Wolves nahisi itakuwa ni hivyo hivyo, EPL wawape kombe lao tu tumechoka upendeleo wa wazi...
Sent using Jamii Forums mobile app