wingatereza
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,334
- 1,722
Noma sana
Huko laliga mbona Barca anabebwa sanaWewe kilaza uliona alivonyoosha ule mkono au hujielewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Laliga itaendelea kuwa ligi bora kwa haya madudu ya epl yanayopanga matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kilaza uliona alivonyoosha ule mkono au hujielewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanajifanya hawakuiona hiiMbona hapa city na Sheffield referee katoa assist na goli limefungwa hamjalalamika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata baadhi ya waingereza wenyewe wanasema VAR imewaletea aibu kubwa hawana pa kujificha. Gwiji la Soka kutoka Uingereza Gary Lineker amejikuta mwenye huzuni kubwa kwa jinsi Wolves walivyo fanyiwa na maamuzi ya VAR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ya Liverpool pamoja na kuonekana kwamba imewapiga gap kubwa timu nyingine za EPL lakini ushindi wake katika baadhi umekuwa na utata mkubwa. Siyo upendeleo tu toka kwa marefa bali hata VAR yaani kote full upendeleo. Baadhi ya mechi ni Aston Villa , Man City , Leicester (Wakiwa nyumbani) hata hii mechi na Wolves nahisi itakuwa ni hivyo hivyo, EPL wawape kombe lao tu tumechoka upendeleo wa wazi...
Ata baadhi ya waingereza wenyewe wanasema VAR imewaletea aibu kubwa hawana pa kujificha. Gwiji la Soka kutoka Uingereza Gary Lineker amejikuta mwenye huzuni kubwa kwa jinsi Wolves walivyo fanyiwa na maamuzi ya VAR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie ndo mnaamini UKIMWI haupo Ni michezo ya wazungu[emoji23]EPL ligi ya hovyo kabisa..nakumbuka Leicester city wanachukua kombe big four zote zinapigwa home and away na Leicester ili Arsenal asiwe bingwa