Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Nimewaza dk kazaa, yani Gutierez amejisikiaje moyoni kuona fans wa LFC wamesimama kumpigia makofi alipokua akiingia. Inatia sana moyo aiseee
Ingekuwa Man U,Man City,Arsenal na Chelsea ndugu yetu Gutierez ANGEZOMEWA maskini ya Mungu
Kaja sehemu ulipozaliwa mpira wa Uingereza anachukuliwa kama shujaa kwa ku battle cancer