akitoka hapo anataka mshahara upandehongera zaoo walistahili ila yule dogo anaicost timu mda wote utakosaje goli la wazi na pia unakaa na mpira mpaka adui anakuja kukupokonya hutoi pasi bora tu muacheni asepe aende anakotaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akitoka hapo anataka mshahara upandehongera zaoo walistahili ila yule dogo anaicost timu mda wote utakosaje goli la wazi na pia unakaa na mpira mpaka adui anakuja kukupokonya hutoi pasi bora tu muacheni asepe aende anakotaka
Hongereni sana wapendwa,mdogo mdogo mkijitahidi mnaweza kumtoa City, ila leo mlistahili mabao mengi,lakini hata hayo ni heshima.
Malafyale Ed n Edd nEddy Asprin na #LFC fans wote, Hongera sana Mr. Wise unajitahidi sana kuliweka active jamvi hili wakati wote.

I was alive when coutinho played football.
https://www.youtube.com/watch?v=MJQ41loppFUnani ana ile clip ya cou na back pass yake