Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hongera zaoo walistahili ila yule dogo anaicost timu mda wote utakosaje goli la wazi na pia unakaa na mpira mpaka adui anakuja kukupokonya hutoi pasi bora tu muacheni asepe aende anakotaka
akitoka hapo anataka mshahara upande
 

Asante kwa Pongezi!!!Tuko pamoja kwenye hii burudani aiseee, nadhani sasa nafasi ya nne kutakua na Ushidani zaidi
 


Sterling's shot nestles in to the back of the net as a hapless Krul picks himself up from the Anfield turf


 

Asante mtani kwa kweli nimesikitika kutomfukuza chizi na makopo yake .... Top four war inaendelea πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Last edited by a moderator:
coutinho was brilliant and also nmependa lucas alvokuwa ana trace mipira, mechi ilikuwa nzur sana,:: entertaining football ya Liverpool hasa kwenye 1st half
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…