Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

KD and L'pool wameshapigwa kagoli kamoja na West Ham.
 
dah... goli zuri sana lile, na sioni gerrard anafanya nini so far, i hope watampa ban kipindi cha pili ili timu icheze vizuri,

naona na suazer kawa mtaliileo
 
dah... goli zuri sana lile, na sioni gerrard anafanya nini so far, i hope watampa ban kipindi cha pili ili timu icheze vizuri,

naona na suazer kawa mtaliileo

Liverpool 2 WestHam 0....Keep going wazee
 
Dah yani katika timu ambazo hazina consistency na liverpool ipo...................... hongereni WEST HAM
 
Poleni wakuu 3-1 WH, few minutes to go before the completion of this game.
 
WH 1 Looser fools 3

King Keegan vipi?
khe khe kheeeeeeeeeeeeee.... mie mgonjwa wangu alikua stage four october lakini baada ya kumuanzisha dawa ameanza hata kwenda kazini

kazi ni yule sheikh yahya alivyo na hali mbaya pale darajani, naskia watu wanaenda zoezini na binduki

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Arsenal fans....hata Birmingham?hahahahaha,u truly r the biggest dissapointment in english soccer.I swear this is definately one of the best days in 2011.not a single trophy in 6yrs and u say u r big.act according to ur ages and not the size of ur shoes


Ama kweli .... ... ... ..




article-1361102-0D62D229000005DC-205_634x389.jpg

A stretch too far: Liverpool goalkeeper Jose Reina dives full length

but can't prevent Scott Parker (out of picture)

from opening the scoring for West Ham



article-1361102-0D632952000005DC-566_634x425.jpg


Great Scott: Parker celebrates his goal with Hitzlsperger




article-1361102-0D62E35C000005DC-374_634x370.jpg


Heads up: Demba Ba (left) celebrates after scoring

his third goal in three games



article-1361102-0D62F07D000005DC-355_634x342.jpg

Agony: Another blow for Liverpool as defender Martin Kelly

suffers a hamstring injury


article-1361102-0D6312BA000005DC-985_634x325.jpg


Dead and buried: Carlton Cole makes sure of West Ham's victory

with the third goal against Liverpool





Khe khe khe kheeeeeeee dead and burried ...


condemned to the Europa league where they belong.
 
Haya tena mechi kali hiyoooo.

Kesho J'mosi 6th March 2011 ni pambano na mpinzani wa jadi Man Utd.

Tuone je Liverpool itakuwa Loserfool au Man Utd itageuzea kuwa Manure?
 
Back
Top Bottom