...ha ha ha, si unajua 'pupwe lina mzizimo kwenye kondoo wenye manyoya haba?'
This team had a bad run for several months, lakini haiondoi ukweli Vigogo wengi hushabikia team hii.
Kamanda FMES ingawa sijamuona siku nyingi,...
"you will never walk alone!"
We will never walk alone. Rafael ageuzwa uchochoro, nani afungisha goli, Van Der Ser ndo usiseme kabisaaaaaa
Big up Liverpool kwa kutufunga!..mmechangamsha sana jumapili ya jana!!!
Duh! Mtu ndio anaachwa hivyo... Suarez kweli ni jembe.
you can say that again... a million time mkuuBIG UP Bwawa la maini, MTM.,..You Will Never Walk Alone Man!
yeah liverpool 3 manure 1... King Kenny feeling aireeWH 1 Looser fools 3
King Keegan vipi?
Big up Liverpool kwa kutufunga!..mmechangamsha sana jumapili ya jana!!!
Mkuu huwezi kuilinganiosha Liverpool na Arsenal yaani ni sawa na kumfananisha Makumbi Juma na Emmanuel Petit......... Nadhani unanilewa...............
http://1.bp.blogspot.com/_LnjMv4GKLUw/SSloWwSOQKI/AAAAAAAAAHc/xozaydrcxOM/s1600-h/arsenal+crap.jpg
Tunawasubiri pale pale MerseysideBraga kama Arsenal tu, kelele miiingi!! Second leg watakuwa wapole, subirini tu.......
Nakwambia wakija Anfield watakuwa wapole kama siyo wao tena.. Anfield ni balaa, hakuna timu isiyoogopa kucheza pale!Tunawasubiri pale pale Merseyside
Nakwambia wakija Anfield watakuwa wapole kama siyo wao tena.. Anfield ni balaa, hakuna timu isiyoogopa kucheza pale!
Kumbe ni kelele eeh? Kamuulize Ferguson kama ni kelele atakupa jibu sahihi!!!!!Naona mmeanza kelele tena baada ya clueless Hodgson kupigwa kibuti. All the best...
FINGER LOOKING GOOD ... Alan celebrates
his Europa League penalty opener for Braga
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Braga kama Arsenal tu, kelele miiingi!! Second leg watakuwa wapole, subirini tu.......
Tunawasubiri pale pale Merseyside