Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

...ha ha ha, si unajua 'pupwe lina mzizimo kwenye kondoo wenye manyoya haba?'
This team had a bad run for several months, lakini haiondoi ukweli Vigogo wengi hushabikia team hii.
Kamanda FMES ingawa sijamuona siku nyingi,...

"you will never walk alone!"

Hahhaaa...walikua wameacha kutembea.....
They were seated alone....
 
We will never walk alone. Rafael ageuzwa uchochoro, nani afungisha goli, Van Der Ser ndo usiseme kabisaaaaaa
 
We will never walk alone. Rafael ageuzwa uchochoro, nani afungisha goli, Van Der Ser ndo usiseme kabisaaaaaa

Kind of we lost Liverpool fans lately, naona wanaanza kujikusanya. Wanachonga sana hawa bora wabakie hukohuko waji-redistribute Spurs na Man City.
I'm extremely happy though kwa ushindi wao wa jana.
 
_51545342_011459623-1.jpg



Duh! Mtu ndio anaachwa hivyo... Suarez kweli ni jembe.​
 
bragapic_1269131a.jpg


FINGER LOOKING GOOD ... Alan celebrates

his Europa League penalty opener for Braga

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
bragapic_1269131a.jpg









FINGER LOOKING GOOD ... Alan celebrates

his Europa League penalty opener for Braga


Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Braga kama Arsenal tu, kelele miiingi!! Second leg watakuwa wapole, subirini tu.......

Tunawasubiri pale pale Merseyside

Nakwambia wakija Anfield watakuwa wapole kama siyo wao tena.. Anfield ni balaa, hakuna timu isiyoogopa kucheza pale!

Mkuu huwezi kuilinganiosha Liverpool na Arsenal yaani ni sawa na kumfananisha Makumbi Juma na Emmanuel Petit......... Nadhani unanilewa...............




Naona leo mmefyata mkia hakuna hata kuguna khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee where do you belong now! You're playing for what? Poleni sana Loserfools!
 




Chacha njomba mwakani mnashiriki kwenye kombe gani?

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kama kawaida Liverpool only shows up wakicheza na Man Utd..Poleni kwa kutolewa anzeni kujiandaa kwa kuqualify next season.
 
Back
Top Bottom