Sijui kwa nini Daglish alikuwa hamkubali Meireles ambaye aliziba pengo la Gerrard vizuri sana,kinachouma ni kwamba hajapata replacement yake .Meireles ana uzoefu wa kutosha wa kimataifa kuliko kina Adams na Henderson na ali-adapt premier league mapema sana,bora angewakomalia Chelsea wampe dogo Sturridge.Belamy atawasaidia ni bora kuliko CarrollLiverpoolFC tumechemsha Kweli kumuachia Mereles imeniuzi si kidogo... Ila Mereles na Villa Boas walikuwa Porto pamoja pia na wasiwasi Liverpool walikuwa wanamtaka £8m na Benayoun au Sturidge wangempata Malouda ingekuwa powa, Benayoun asingeweza kurudi alivyoondoka sivyo.. Villa Boas na Mereles wamefanya dili la kufanya kusudi Mereles namna alivyoondoka si vizuri kabisa too late hata ya kufikiria unaongeza nani mwengine I'm Not Happy with Him and Villa Boas hii nitaichukia Chelsea kuliko Man united. Arsenal wame Sign vizuri kwa maoni yangu. Liverpoolfc tumechemsha kiaina ila tusubiri tuone.