Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Haya wenye chuki na The Reds wafurahi! Suarez amefungiwa mechi moja na faini ya £20'000 kwa lile kosa la kuwaonyesha mashabiki wa Fulham 'kidole-kati' Kwa hiyo atakosa mechi ya keshokutwa tarehe 30/12 dhidi ya Newcastle.
 
Haya wenye chuki na The Reds wafurahi! Suarez amefungiwa mechi moja na faini ya £20'000 kwa lile kosa la kuwaonyesha mashabiki wa Fulham 'kidole-kati' Kwa hiyo atakosa mechi ya keshokutwa tarehe 30/12 dhidi ya Newcastle.
Wenye chuki nae ni wale mashabiki wa Fulham waliomzomea akawatukana
 
Wenye chuki nae ni wale mashabiki wa Fulham waliomzomea akawatukana
Nimemaanisha
wenye chuki dhidi ya Liverpool, wako wengi sana humu. Angalia post zilizopita kuhusu kesi za Suarez utawajua...
 
Hello mashabiki wote wa The Reds mpo?! Nadhani leo kwenye EPL kuna mechi moja tu, ambayo tunawakaribisha Newcastle United... Kwa hiyo macho yooote yako kwetu...! Tunatoka vipi leo?! Bila shaka sharobaro wetu Carroll ataanza.
 

Nimekuelewa pa1 na kueleza hk ukikashif, ingawa sijui sheria ila sijawahi kusikia mtu anahukumiwa kupitia mamlaka mbili tofauti kama ulivyoeleza kwa kosa linalofanana, Haiwezekani ka Terry akikutwa na makosa mahakama imuadhib at the sm time FA nayo ije imuadhibu kwa kosa lile lile..
 

vipi mkuu mlishakata rufaa..
 
Dakika za nyongeza Liverpool 3-1 Newcastle! Gerrard kapiga la tatu. Hapa point tatu muhimu kibindoni.
 
Full time. 3-1 kwa Liver, Nawaombea matokeo mabaya wapinzani wetu wote watakaocheza J1 na J2...!!!
 
kwenye red nadhani umeshapata... suarez is brilliant ila anakosa communication na wenzake sometimes, ni mtundu kidogo... ningekua mimi ningempiga winger kama mechi nne hivi, angeappreciate kweli discipline ya striker kuwa predictable to his defenders

as for Terry, he is english... yataisha kama hayakuwepo, na ndio maana EPL inashuka jamaa ni wabaguzi sana
 
Vijana leo wanatupa usingizi mnono ila KD ananikera kumghaghania AC wakati tayali anaonekana mzigo hana msaada wowote kwanini asimchezeshe maxi.
 

Nimekuelewa mkuu, Suarez abadilishwe ka ilivyokuwa kwa Kuyt acheze pembeni,.
Af huyu Downing ni mchezaji mzuri ana pace, control ila tatizo lake kubwa ni pass za mwisho na cross.
Kuhusu Carrol, KD akubali tu alichemka usajili wake, tatizo anatakaa kulazimisha ku prove wrong kwa Mashabiki ndo maana anampa airtime ya kutosha, ila nimeona dalili nzuri akicheza na Steven G
 
Yaani Carroll kama ni mkosi anao wa kumtosha! Nafasi alizopata leo hasa dakika za mwisho ni ajabu kuwa hakufunga... KD atafute mbinu nyingine ya kumsaidia huyu dogo badala ya kung'ang'ania kumuanzisha.
 
downing wouldnt make to my list, ni winger asiyejua kupiga chenga, wala henderson asingekua kwenye timu yangu

carrol is not good,he is crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…