shit happens bro... its like scums and aston villa
haya mambo huwezi sema chochote, its the players who decied, although i would say the penalty was a bit harsh
come down loserfool fan...watch how you are rammed down...
Toka kwenye hii thread, nyie bona mliaibishwa!
Vigeugeu nyie! Mlikuwa mnasema tushinde mambo yamebadilika mnaanza matusi
Hii thread ilikuwepo kabla haujawa member, na tulikuwa tukiachangia bila masharti. Kama unataka thread yako peke yako nafikiri huwezi kuipata hapa JF, labda uanzishe forum yako ya POO Forum.
inauma mnavyopondea wakati kabla ya mechi tulikua pamoja
inauma mnavyopondea wakati kabla ya mechi tulikua pamoja
mkuu huo ndio upenzi na ushabiki wa soka ulivyo...ingawa it is sad that you lost to our current competitor...Liverpool winning could have made my day fantabulous!!
Poleni kwa kipondo wazee wa museum, nasikia John Henry anataka kuwapiga chini Sky kuanzia msimu ujao mechi zenu zionyeshwe na History Channel....hahahahaha!!
Poleni kwa kipondo wazee wa museum, nasikia John Henry anataka kuwapiga chini Sky kuanzia msimu ujao mechi zenu zionyeshwe na History Channel....hahahahaha!!
siku nyingine tukifungwa mtupe pole sio tena kuchochea moto
Duh makocha wanakuwa na imani ya ajabu! Hivi KD alimuweka pale mbele Carroll peke yake akitegemea kuwa atafunga??? Angalau Maxi na Bellamy wangechezeshwa kipindi kimojakimoja...Lkn The Reds wenzangu msikonde tutafufuka mbele kwa mbele. YNWA.
Duh makocha wanakuwa na imani ya ajabu! Hivi KD alimuweka pale mbele Carroll peke yake akitegemea kuwa atafunga??? Angalau Maxi na Bellamy wangechezeshwa kipindi kimojakimoja...Lkn The Reds wenzangu msikonde tutafufuka mbele kwa mbele. YNWA .
pamoja sana mkuu. JFT96 YNWA
YNWA = You will Never Win Anything
Mkuu wewe ulitaka nani hasa aanze ambae yuko nje?
Suarez: Ameanza kutumikia adhabu
Gerrard: Ndi kwanza katoka kupona, hawezi kuchezeshwa full match kwa haraka haraka, anaweza kurudi chumba cha majeruhi muda wowote.
Bellamy: Anajulikana medical history yake, hawezi kuanza mechi mbili mfululizo ndani ya wiki moja, sembuse hizo siku 4?!