LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Kwa record ni kuwa leo Gerrard alikuwa anacheza mechi ya 400. Na ndo hivo kaisherehekea kwa kupiga hat-trick. YNWA.
You'll never walk alone! Thanx Steve Gerard, you real make my nite!!!!
Haahaaahaaaa, mkuu, waambie kuwa Suarez ameng'ara mno! Maana kuna timu fulani ya mashoga wakisikia jamaa ametajwa matumbo yanawaunguruma kwa kiwewe!
Kwa record ni kuwa leo Gerrard alikuwa anacheza mechi ya 400. kwa club. Na ndo hivo kaisherehekea kwa kupiga hat-trick. YNWA.
Wee ndetichia wewe...acha hizo bana! Bila shaka ningebaki mwenyewe na labda Pazi angekuwepo... Sasa wale wanga wale, ingekuwa makelele na fujo hapa si haba!wangewabahatisha sijui hapa pangekuwaje..
Vipi Mc TC, Ubongo wa fuleva umekulewesha??mkuu vipi hapo chini umeandika YNWA?-You Now Walk Alone?lol!
mkuu vipi hapo chini umeandika YNWA?-You Now Walk Alone?lol!
Hi Mkuu! Salama?!....cr@p!!
Hi Mkuu! Salama?!
Haahaaahaaaa! Usi-quit mkuu japo kwa kweli inachosha sana... Mi nadhani KD na wamiliki labda walifanya makosa sana kutosajili mfungaji mahiri wakati wa dirisha dogo. Na yule Carroll angekuwa anapewa dk 25 tu za kutafuta makali...salama sana mkuu, nasikitika tulipoteza machi mbili kilaini sana mkuu, i almost quit supporting Liverpool this season; jamaa walikua wanacheza kama wako bichi
Haahaaahaaaa! Usi-quit mkuu japo kwa kweli inachosha sana... Mi nadhani KD na wamiliki labda walifanya makosa sana kutosajili mfungaji mahiri wakati wa dirisha dogo. Na yule Carroll angekuwa anapewa dk 25 tu za kutafuta makali...
Unajua tatizo lingine la Liver inaweza kuwa ni jinsi timu inavyopangwa... Ni ajabu sana kuwa timu inafanya mengine yote vizuri kasoro tu kufunga magoli! Tunamiliki vizuri, tunaingia mara kibao ktk box za adui, maajabu tunaambulia kona nyingi na kugonga miamba ya goli!! Mtu kama Maxi pamoja na rekodi yake yote kila anapocheza, anasugua bench!very true... but he played better against everton kwasbabu waliweka 4-3-3 jamaa akawa more free kuzunguka, that made Gerrard very free, it was a good formation, he looked more comfortable katikati kuliko mbele