LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Ungwe ya pili ndiyo imeanza.
Kadri kutakavyokuwako na mabadiliko ntawajuza wadau!
Naona hakuna sub yeyote mpk sasa.
Mechi ni nzuri na ni tafu kweli kweli!
Dk yapata ya 60 na ushehe sub ilifanyika.
Toka Handerson Ingia D. Kuyt na ndiyo sub pekee!