Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Wakuu mupo?!?! Mdogomdogo tunaweza kuweka ndani vikombe viwili!
Wakuu tupo! Nani kasema? Hamuwezi kuweka ndani vikombe viwili! You will never win again!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu mupo?!?! Mdogomdogo tunaweza kuweka ndani vikombe viwili!
Pole pole... Hatimaye tunaenda tena fainali
Asante mkuu... Japo ktk stage hii usinipe pole! Kwanza hatuna cha kupoteza, hatuwezi kufikia nafasi ya CL, mi natamani tufungwe zaidi ili msimu ujao tuje vizuri zaidi...!!pole sana mkuu punainen-red
Wewe wa wapi??? Unakafahamu kale kamnyama kanakoitwa Komba?! Kakilewa pombe-mnazi ya wizi huwa kanafanya hivyohivyo ulivyofanya hapo juu!!!Liverfools hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
Asante mkuu... Japo ktk stage hii usinipe pole! Kwanza hatuna cha kupoteza, hatuwezi kufikia nafasi ya CL, mi natamani tufungwe zaidi ili msimu ujao tuje vizuri zaidi...!!
Wewe kombe unalo???punainen-red ombi lako limekubaliwa you'll never win again mwisho wa msimu utakuwa na mshikaji wako ndetichia mkifarijiana kwasababu hata yeye hana uhakika na kikombe sio kikombe tu hata medali ya kutu pia hatopata!
Wewe kombe unalo???
Nasikia Fellaini amewa-lainisha huko hadi mmelainika, ni kweli???
Kumbe pamoja na kelele zako zooote ukweli ni kuwa unasubiri?!?! Pole sana. Endelea kusubiri.Subiri Manchester derby uone kazi!
punainen-red ombi lako limekubaliwa you'll never win again mwisho wa msimu utakuwa na mshikaji wako ndetichia mkifarijiana kwasababu hata yeye hana uhakika na kikombe sio kikombe tu hata medali ya kutu pia hatopata!
sio ongei sana betting score city 3 - 1 manure na hapo ndipo tutakapo chukulia ndoo..
Kweli kabisa. Ndivyo itakavyokuwaPremier ligi anachukua city
FA anachukua LIverpool
Carling Liverpool
UEFA Madrid
waliobaki... United, Chesi, Ass-n-hole, toto ni hamu... wanakula patupu
Mkuu thinka karibu! Hiyo post yako ingependeza kama ungeiweka kule kwa Chel5 ili muijadili kwa uzuri zaidi na mashabiki wao.