Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona Suarez kawarudisha kwenye mashindano...
Mshukuruni sana Distin
 
Hongera zenu ila kwanini hamjatoa handcap in betting wandugu
Pred Ta Muganyizi hongera zenu..
 
Big Andy katupeleka finali...


Ushabiki jamani ni kazi kweli kweli pale nilipokuwa nimeweka kambi nikiifuatilia yani nimejikuta nikitaka kukimbilia TV kwa furaha ya kipekee!

Hakika kimfaacho mtu ndiyo chake!


You will never walk alone!
 
Pole pole... Hatimaye tunaenda tena fainali



Ingali cwezi kujiapia ila hakika The Cocks hawanaga mzaha mara waonapo kombe yoyote ile mbele yao.

Ni wakati mwingine wa club kuandika historia mwingine.
 
Ni kawaida ya Liverpool kupata mavuno mengi wakati wa ukame. Hakika 'we will never walk alone'.
 
Back
Top Bottom