Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baada ya kutoa sare ya 1-1 dhidi ya Toronto tarehe 21, jana tumechapwa 2-1 na Roma. Goli letu lilifungwa na Charlie Adam dakika ya 80. Pamoja na Charlie Adam kucheza, Aquilani, J Cole, Carragher, J Enrique pia walicheza.
 
Europa league:


Dk ya 21 mshambuliji hatari na matata Fabio Borini anawanyanyua washabiki wa LiverpoolFC

Liverpool Fc 1 (F. Borini)
Gomel Fc 0
 
Tukielekea HT

Liverpool Fc 2, Fabio Borini 21,Gerrard 41

Gomel Fc 0
Ngoja tusubirie round ya pili!
 
Dk 72
Liverpool Fc 3 ( F. Borini 21,S. Gerrard 41,G. Johnson 71)

Gomel Fc 0
Hata kama ni uefa ndogo vilevile ni warning kwa timu za leage kuu week ijayo!

Wanawakimbiza hawa washikaji utafikiri hawajuani.

"You will never walk alone"
 
Kurudi kwa kiungo wa kt Steven Gerrard na Lucas Leiva imeiboresha sana safu hii!

Natamani leage ingekuwa kesho kutwa niwaone hawa wanajiita ndio wao kwenye ligi hiyo ya Permium.

Safari hii hapatatosha!
 
Full Time ubao ulisomeka hivi:

Liverpool Fc 3

Gomel Fc 0

Hbr ndio hiyo washabiki wenzangu wa club.

Usiku mwema nyote!
 
Hongereni The reds wenzangu kwa ushindi wa jana. Japo mimi natamani tusiwe kwenye Uropa ili tupate muda wa kutosha kukomaa na League na kutafuta nafasi ya CL mwakani.
 
Does anyone still support liverpool? Kweli watu mna moyo

Liverpool ndo baba wa historia English soccer......ni mabingwa wa makombe yaliyobebwa wakati watu wanacheza football kutoka mioyoni siyo sasa kutoka mifukoni (chapaa). Manure wameubukia kwa sababu ya football ya sasa kutawaliwa na chapaa zaidi na infact kwa mafanikio wana-struggle kuifikia rekodi ya Liverpool tu sasa.

Ngoja nikuulize swali kijana...ina maana Manure yako itakpokuwa inatembelea pua miaka miwili ijayo utahamia timu gani? PSG? Mancity? Chelsea? Anzhi?
 
:biggrin1: hapo ni kweli team yangu man utd hata ikishuka daraja i will always b a red devil.. Bt kuhusu history ya english league i would advise u msiwe mnaongea about history sana coz history is the past.. Its about the future... Liverpool have never won the english premier lg.. Man u, chelsea, arsenal and man city have won it.. Its a shame a legend like steven gerard would retire frm football neva havin won the league. Saivi hata champions league hamchezi huu mwaka wa ngapi?!! Andy carroll, charlie adams na wengine wote sio class ya KOP sa kwann daglish aliwanunua??!! Nyie mlikuaga ndo wapinzani wetu wa jadi lakini saivi man city ndo wanatupa kijasho
 
Breaking News.

Joe Allen wa Swansea City ajiunga na Majogoo wa London kwa uhamisho wa kiasi kinachokadiriwa pound 15m kwa mkataba wa muda mrefu.
 
Does anyone still support liverpool? Kweli watu mna moyo

Ndugu yangu umetoka kote umekuja kuongelea ya Liverpoolfc kweli ipo kwenye moyo wako unaipenda na kuifikiria ndomana umekuja hapa na kuitaja.
 
Mi napenda football so nitaingia kwa chelsea man city united livepool yanga simba hata mkiweka thread za real madrid barcelona nazo nitachangia... Am a football man :happy:
 
Utawajuwa tu watu wameenza kuwa wapenzi wa Manchester United Juzi sasa hujui kama EPL ni imebadilishwa tu jina na kombe ndomana mahesabu ya Ligi mara ngapi watu wameshinda ni ipo palepale kuhusu Steven Gerrad kuwa Legend hajawahi kushinda Ligi halitusumbui kwani Ligi ipo palepale na Liverpoolfc bado ipo Chelsea wale pale imewachukuwa muda kupata Champion League wamekuja kupata madamu siku na miaka ipo basi kitawezekana United iliwachukua miaka 26+ kushinda Ligi ambayo ndio Liverpoolfc ipo sehemu kama hiyo Manchester United imemchukua Sir Alex miaka Saba kushinda Kombe la aina yoyote ambayo Liverpoolfc imechukua miaka 6 kushinda ndio hili angalau kombe moja LFC imebeba kila kitu kinamwanzo na Historia huwezi kufuta na ndomana unaiongelea ma Legend Wengi tu wapo hawajawahi ku win kitu flani Mfano ili usiende mbali Eric Cantona yule pale kawacha Manchester United Je Alishinda European Champions League hapana ila wengine wamekuja kushinda wakati unatofautiana kuwa yeye atamaliza Ligi hajawahi kushinda EPL sio tatizo. Utakuja kushangaa hata Arsenal watakuja kubeba Champion League ya mbele hatuyajui ila nyuma inajulikana kama Rekodi zipo.
 
Mi napenda football so nitaingia kwa chelsea man city united livepool yanga simba hata mkiweka thread za real madrid barcelona nazo nitachangia... Am a football man :happy:

Hehehe ndugu yangu mie sijakwambia hupendi mpira wala sijakwambia usiingie humu kwenye thred hii nilichosema inaonyesha unaipenda Liverpoolfc ni upinzani tu wa maneno ndugu yangu usiwe na gazba mie nimejaribu tu kukufahamisha nafurahi kama umeelewa kama mshabiki wa mpira. haya yote ni manjonjo ya kufurahishiana pia humu.
 
Mimi nimeanza ku support man u toka niko mdogo enzi za kina jaap stam, mark hughes, paul ince, cantona, giggs wakati huo ndo anachipukia bado ni dogo akina steve bruce roy keane kipindi utd ni balaa mi sio ka fans wa chelsea ambao wameanza kusupport chelsea wakati roman abromavich kanunua chelsea na morinho ndo kachukua team na akina drogba ndio wamenunuliwa kila mtu akakimbilia chelsea... Sisi kwa kua ni man u for life tukatulia saivi chelsea wako wapi...mi ni mwanachama kabisa wa man u na kadi ninayo in fact nina kadi ya ziada so ningependa mwanachama yoyote wa kop ambae amechoka na stress za team yao waje man u mi nitawapa kadi za bure kabisa :biggrin1:
 
Uwanachama wa Mashetani hata siku moja hatugusi sie sio Plastic Fan.:happy:
 
LFC are going to have a great season.. Clint Dempsey and Nuri Sahin might be arriving at Anfield this week, Nuri Sahin on loan and Clint Dempsey a more likely deal for a fee of pound 3M + Charlie Adam! YNWA

Update
Liverpool looks set to complete this double deal in the next 48 hours

YNWA
 
Haya haya haya! Matanange ndio huo umebisha hodi tena!

Wadau wapenda soccer tusiache kufuatilia moja kwa moJa mtanange huu kupitia supersport 7 mechi yetu saa 5:00!

You will never walk alone!
 
Back
Top Bottom