mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 627
Gooooo la la laaaa....suares anakosa goli la wazi hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gooooo la la laaaa....suares anakosa goli la wazi hapa
Mkiendelea na Daglish mtashika nafasi ya 12Tumemaliza vizuri msimu kwa kushinda kwenye uwanja wa nyumbani. Msimu ujao tujipange upya sio timu ya kushika nafasi ya 8
Mkiendelea na Daglish mtashika nafasi ya 12
KD kaondoka... sasa tunajipanga upya, wale waliotushikia nafasi yetu wajiandae kurudi kwenye nafasi zaoMkiendelea na Daglish mtashika nafasi ya 12
Sidhani kama kocha atakayekuja atawafundisha wachezaji wetu namna ya kufunga badala ya kugonga miamba ya goli kila mara! Kuna option mbili ambazo hata KD angebaki angelazimika kuchagua moja, kuendelea kukomaa na hawa madogo wetu hadi wazoeane, au kuuza baadhi kwa hasara tununue wapa tena halafu tuingie kwenye mtego uleule wa kusubiri wazoeane tena! Kitu ambacho ligi haitakuwa inatusubiria...
Its time now for Rafael Benitez to come back home
Hata Mie Naona Rafael Benitez ndio wakurudishwa hata Roberto Martinez pia nashangaa watu hawamtaki Roberto Martinez sababu Wigan timu ya chini ila tizameni Rafael Benitez alivyochukua Valencia alitokea wapi? Guadiola alivyochukua Barca ok tunaweza kusema kaikuta Barcelona tayari nzuri, Mie Roberto Martinez ndio wakupewa timu hasa kama Van dagaal atakuwepo juu ofisini ni muda wa Liverpoolfc tukubali timu yetu sio ile timu ya kupata wale Ma Manager wakubwa ni muda wa kumkubali hata Roberto Martinez na kuunda timu vizuri sio Kama Kenny Daglish mwakani wafikirie nafasi ya 3 wacheze CL tukiweza mtihani huo kuanzia hapo ndio tutaongelea ubingwa na wachezaji wale world class zaidi ya hapo tunajidanganya. LFC wanatakiwa watizame Juventus kitu gani kiliwakuta watu wakasema basi ila taratibu sasa hivi wale Pale wamerudi CL na ubingwa wa ligi wamebeba na mtu kama Conte.
Coach ni BRENDEN ROGERS wa Sanswea city,YNWA...Nipo mkuu Ruba naona umekuja huku nipo bondeni tunajaribu kupanda tuone tutafika lol Lfc yetu kilima udongo wa maji tunateleza chini tunataka kujaribu kufika, ishu vp lakini kitabuni kule nitarudi ss hivi box tu na kijisomo.
. Nimeona sema huyu Breandan Rogers sioni kama ataweza kuleta vifaa na kengine siamini sababu Swansea inacheza pasi nzuri ndio Breandan Rogers atafanya LFC iwe hivyo nikujidanganya, mie sito judge sana ila nampa kuona nani ataleta na game 15 ndio nitajuwa kama jamaa anafaa muhimu Van da gaal.Coach ni BRENDEN ROGERS wa Sanswea city,YNWA...