Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kona hiyo...gooooo la la laaaaaa! jamani hawa liver vipi? yaani hata goli 10 zingefika
 
Haaahaaaa! Wakuu leo sina neno, maneno yenu yamenichekesha sana...Naona leo vijana wanawaaga vizuri mashabiki wao hapo Anfield..YNWA.
 
Mpira umeisha....liver 4 wazee 1. Full time
Utabiri wangu nimechemsha....but am happy Liver wameshinda
 
Tumemaliza vizuri msimu kwa kushinda kwenye uwanja wa nyumbani. Msimu ujao tujipange upya sio timu ya kushika nafasi ya 8
 
Tumemaliza vizuri msimu kwa kushinda kwenye uwanja wa nyumbani. Msimu ujao tujipange upya sio timu ya kushika nafasi ya 8
Mkiendelea na Daglish mtashika nafasi ya 12
 
Hapendwi Mtu Kenny Daglish Kazi yake hana Tatizo pale wamarekani wanajuwa hawajui kitu kuhusu mpira zaidi ya kujuwa Pesa imepotea na mtu wakutafuta Wachezaji hayupo Director au Makatibu wanahitaji kwanza subiri mwezi wa sita ukifika ujue wakipata ujue Kenny Daglish anaondoshwa anatafutwa Manager ambaye na uhakika sasa hivi wapo kwenye Talks na ma Managers wakimuacha Kenny Daglish Timu itaenda kubaya na kiuchumi timu itakufa na kukatwa ma Point kwa Michezaji kama Caroll na Downing na Dogo kama Spering sio wakuanza 11 hakuna timu Pale Ushauri wangu wauze Reina kwa 15m wachukue Kipa wa Swansea 8m then wachukue mtu kama Mousa Dembele na Striker kama Matias Suarez kwengine watajuwa au hata winger kina Victor Moses wawape Wigan Downing. ukweli ni huo hatuna pesa ya wachezaji wakali ila pesa ipo ya kununua mtu awe mkali Tizama Benitez na Alonso,Garcia na Reina nani aliwajuwa?
 
Sidhani kama kocha atakayekuja atawafundisha wachezaji wetu namna ya kufunga badala ya kugonga miamba ya goli kila mara! Kuna option mbili ambazo hata KD angebaki angelazimika kuchagua moja, kuendelea kukomaa na hawa madogo wetu hadi wazoeane, au kuuza baadhi kwa hasara tununue wapya tena halafu tuingie kwenye mtego uleule wa kusubiri wazoeane tena! Kitu ambacho ligi haitakuwa inatusubiria...
 
Sidhani kama kocha atakayekuja atawafundisha wachezaji wetu namna ya kufunga badala ya kugonga miamba ya goli kila mara! Kuna option mbili ambazo hata KD angebaki angelazimika kuchagua moja, kuendelea kukomaa na hawa madogo wetu hadi wazoeane, au kuuza baadhi kwa hasara tununue wapa tena halafu tuingie kwenye mtego uleule wa kusubiri wazoeane tena! Kitu ambacho ligi haitakuwa inatusubiria...

KD was let down by his signings,no one of the new signings had maintain good run of form,only Bellamy raised to the occasion at times..Remember Rafael Benitez had not enough fund to spend,but he signed players who performed well only one player looked not right to be bought Alberto Aquilani
 
You will never walk alone

Liverpool born Hollie Cavanagh returned to the American Idol stage this week to perform a rousing rendition of our famous Club anthem.

Hollie, who reached the last four in this year's competition, belted out 'You'll Never Walk Alone' alongside former Idol winner Jordin Sparks

Last edited by a moderator:
Its time now for Rafael Benitez to come back home

Hata Mie Naona Rafael Benitez ndio wakurudishwa hata Roberto Martinez pia nashangaa watu hawamtaki Roberto Martinez sababu Wigan timu ya chini ila tizameni Rafael Benitez alivyochukua Valencia alitokea wapi? Guadiola alivyochukua Barca ok tunaweza kusema kaikuta Barcelona tayari nzuri, Mie Roberto Martinez ndio wakupewa timu hasa kama Van dagaal atakuwepo juu ofisini ni muda wa Liverpoolfc tukubali timu yetu sio ile timu ya kupata wale Ma Manager wakubwa ni muda wa kumkubali hata Roberto Martinez na kuunda timu vizuri sio Kama Kenny Daglish mwakani wafikirie nafasi ya 3 wacheze CL tukiweza mtihani huo kuanzia hapo ndio tutaongelea ubingwa na wachezaji wale world class zaidi ya hapo tunajidanganya. LFC wanatakiwa watizame Juventus kitu gani kiliwakuta watu wakasema basi ila taratibu sasa hivi wale Pale wamerudi CL na ubingwa wa ligi wamebeba na mtu kama Conte.
 
Inakuwaje Mkuu?
 
Nipo mkuu Ruba naona umekuja huku nipo bondeni tunajaribu kupanda tuone tutafika lol Lfc yetu kilima udongo wa maji tunateleza chini tunataka kujaribu kufika, ishu vp lakini kitabuni kule nitarudi ss hivi box tu na kijisomo.
 
Coach ni BRENDEN ROGERS wa Sanswea city,YNWA...
 
Coach ni BRENDEN ROGERS wa Sanswea city,YNWA...
. Nimeona sema huyu Breandan Rogers sioni kama ataweza kuleta vifaa na kengine siamini sababu Swansea inacheza pasi nzuri ndio Breandan Rogers atafanya LFC iwe hivyo nikujidanganya, mie sito judge sana ila nampa kuona nani ataleta na game 15 ndio nitajuwa kama jamaa anafaa muhimu Van da gaal.
 
Back
Top Bottom