Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu Kalumbesa, ni kweli Liverpool ina nafasi ya kufanya vizuri kama tu kocha aliyepo atapewa muda wa kutosha. Na kwa bahati nzuri tunakutana na wapinzani wetu wengi mwanzoni mwa ligi.
 
Liverpool fans you had your chances and you blew it defensive mistakes as usual... Same ol liverpool
 
Duh! Wakuu vipi mmekimbia baraza lenu?
Hongereni kwa kucheza vizuri. Ila lawama kwa timu kwa kushindwa kuchukua point 3 za muhimu sana.
 
Rudisha Rudisha kwa Kipa zilikuwa nyingi nilijua tu ipo moja tutachemsha mbaya kama sio mbaya nilichopenda mie kitu kimoja tu pasi kwa kutulia sio fujo na Downing kaonyeshwa mpira unachezwa vipi na kijana mdogo Raheem! Ila freekick kiboko ukuta umewekwa inavyotakiwa.
 
The kops Leo tunajilaumu kwa kukosa point tatu Hawa JAMAA walikywa wetu kabisa
 
Kocha kaprove kwamba Charlie Adam, Stewart Downing na Jordan Henderson ni magalasa kwani hawana nafasi tena ila dogo Raheem ni kiboko
 
Liverpool will improve further, adding Sahin to the team and Assaidi Arsenal will be well beaten. I feel this season Liverpool will do great! Up Liverpool YNWA!
 






From hero to zero .... ...

Hongereni wakuu tutakutana hapo hapo next weekend .... .... ...
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hakuna mbaya! Hili chama lita-improve sana, na wapinzani watakuwa wanajiuliza mara mbilimbili watukabili vipi. YNWA.
 
Kocha kaprove kwamba Charlie Adam, Stewart Downing na Jordan Henderson ni magalasa kwani hawana nafasi tena ila dogo Raheem ni kiboko

Tuna tatizo la mbadala wa beki wa kushoto af sioni juhudi za kutafuta, Enrique akiwa hayupo Johnson analazimishwa kucheza 3
Naona wajaribu kumuhamishia C. Adam kucheza beki 3 tuone itakuwaje manake kwenye dimba ka prove failure.
Ila nimeona kikosi kina future with young players...
 
Hakuna mbaya! Hili chama lita-improve sana, na wapinzani watakuwa wanajiuliza mara mbilimbili watukabili vipi. YNWA.

Ila sasa hivi pale kati kutakuwa na ushindani sana wa namba! Njonjo, Sahin, Gerard, Allen, Leiva ila Downing, Handerson, Spearing, Joe Cole na Adam inabidi waangalie ustaarabu mwingine.
 
Wakati nafurahia kuwa kuna uwezekano wa kutolewa Uropa tupate muda wa kukomaa na League, Suarez anaibuka kufunga dk ya 88. Tutaendelea na mbanano wa ratiba sasa.
 
Liverpool do you blame your legend and hero kenny daglish for spending 35million pounds on a flop andy carrol last january and he's now on loan at west ham and he would probably sign for 18m pounds next summer? he's the most expensive flop in the history of liverpool and who's to blame...your hero and legend MR DAGLISH poleni
 
Hivi kwanini Kile kibabu cha manu na wafuasi wake wanamhaha sana KD?! Wewe aliyekuambia kuwa hapa kuna shughuli ya kuwa-blame watu ni nani?!
 
Liverpool mmemkosa Clint dempsey na andy carroll ashaondoka...one of your strikers akiumia or suspended itakuaje? poor management
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…