punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Mkuu Kalumbesa, ni kweli Liverpool ina nafasi ya kufanya vizuri kama tu kocha aliyepo atapewa muda wa kutosha. Na kwa bahati nzuri tunakutana na wapinzani wetu wengi mwanzoni mwa ligi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Next game Arsenal,uzembe mdogo Leo umetugharimu
Kocha kaprove kwamba Charlie Adam, Stewart Downing na Jordan Henderson ni magalasa kwani hawana nafasi tena ila dogo Raheem ni kiboko
Hakuna mbaya! Hili chama lita-improve sana, na wapinzani watakuwa wanajiuliza mara mbilimbili watukabili vipi. YNWA.
Hivi kwanini Kile kibabu cha manu na wafuasi wake wanamhaha sana KD?! Wewe aliyekuambia kuwa hapa kuna shughuli ya kuwa-blame watu ni nani?!Liverpool do you blame your legend and hero kenny daglish for spending 35million pounds on a flop andy carrol last january and he's now on loan at west ham and he would probably sign for 18m pounds next summer? he's the most expensive flop in the history of liverpool and who's to blame...your hero and legend MR DAGLISH poleni