Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa mashambulizi haya cjui kama hawa vijana wa New Ctl watatoka!

Ila tusubiri dk 90 ndiyo msema kweli!

Ni dk ya 40 na bado milango kwa kila timu ni ngumu ila L'poolFC wanashambuli goli la kama nyuki bila ya mafanikio!
 
Ni dk ya 43 New Cstl anawanyanyua washabiki wao waliokuwa kimya muda mwingi na si mwingine ni yule kiungo wao mshambuliaji Cabaye!
 
kazi mnayo wakuu


ndetichia ni kweli kazi kwa washabiki kama Mi hakika ipo na ukizingatia club kubwa kama hii inapoteza mwelekeo na hata hivyo Mwalimu ana kazi kubwa ya kuijenga timu hii kongwe hapo Ulaya na ukizingatia na ukiangalia kwa mtazamo mzuri wa soccer hakika club yetu inahitaji muda kuijenga!

Mpaka sasa Mi naona wanatumia uzoefu tu!
 
Last edited by a moderator:
Still mnalalamika MANU wanabebwa,hawa jamaa wanawapa shida nakumbuka hata Caroll enzi zake aliwatungua
 
Kipindi cha pili kimeanza kwa New Cstl kufanya sub kwa upande wa ushambuliaji
toa Demba Ba weka Ben Afta
 
Bila shaka hii kosa kosa hivi goli la New cstl itatugharimu sana club yetu!

Muda wote tupo golini mwao bila ya mafanikio,hii ni mbaya!
 
Dk ya 67 Mshambuliaji mtata Luis Suarez anawanyanyua washabiki wa Liverpool Fc

Liverpool 1 New Cstl 1
 
Ni dakika ya 78 na kwa sub aliyefanya Mwl wa L'pool ya kumtoa huyu kiungo mshambuliaji Suso na Sahìn na kuwaingiza Jonjo na Dowing imeleta msisimko mzuri hasa sehemu ya kiungo kwa L'pool Fc!
 
Dk ya 83 beki wa New cstl F. Coloccini amecheza rafu mbaya na refa akamzawadia kadi nyekundu
 
Good match interms of speed and the midfield battle but Liverpool are having a lot of the ball whilst failing to convert clear chances into goals..not good for them.
 
LFC taratibu ndio mwendo lazima tukubali hatupo level inayotakiwa ila kuna baazi nafasi zinahitajika kuongezwa ambazo Rogers naamini atazifanyia kazi, ila Maxi na Kuyt wasingetolewa mapema angetolewa Caroll,downing na hendo hawa madogo wanahitaji bado ujuzi kuwe na timu ambayo inawakali then ndio unaingiza madogo lasivyo unawaumiza tu. Raheem na Suso. Downing sinalakusema dah. Hodgson kaiponda then Kenny kaja kuiuwa kabisaaaa. Namkumbuka enzi za Crouch inapigwa watu wanazama nyavuni.
 
Still mnalalamika MANU wanabebwa,hawa jamaa wanawapa shida nakumbuka hata Caroll enzi zake aliwatungua
Mkuu Belo, hata Liverpool ingetokea ishuke daraja haitaondoa ukweli kuwa man u wanabebwa!!!
 
Chelsea ataondoa uteja Leo? msimu ulipita Stamford bridge ilikua Chelsea 1-l Liverpool 2 Leo Je? kunaaaaaaanii!?
 
liverpol will never walk alone they must walk with kichapo kutoka kwa chelsea.
 
Katika mechi hii itakayoanza muda si mrefu,sitaki washabiki wa Manchester United watuunge mkono washabiki wa L'pool FC kwani Man U ni timu ya kubebwa tu! Mi washabiki ninaojua ni wa Man U wakishangilia ushindi wetu dhidi ya Chelsea Mi nawamwagia chochote kile nilichoshika muda ule wakishangilia. Hiyo ni taarifa tu!
 
Hivi mko nafasi ya ngapi vile?

Oh! Nilisahau, nashukuru skirini ya Iphone 5 ni kubwa kiasi kwamba sipati shida kujua Looserfools wako nafasi ya ngapi.

Leo nitafurahia game tu. Huku nikipiga miluzi na kuchezea sharubu zangu, nikipungwa upepo pale juu kileleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…